Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakuwa mkali kwa jamaa bila sababu lakini nguvu za kiuchumi zinamtuliza.Wanaume siyo wajinga hivyoo,lazima alipe na riba yoyote ile.Maisha mafupi olewa na mwenye hela usije juta...ukiolewa na huyo mwenye kijiji mwisho wa mwenzi utaishia kuchepuka na mwenye hela....
Mawazo yangu ya usiku haya...kuwa makini
😂😂😂😂itoshe kusema we binti kwa vichambo 100%usafiri TZ 11 (miguu), kachumba kamoja kana joto utadhani oven, feni inazunguka mpk inanuka oil.
Taratibu mkuuu.Wenye akili walisha tahadharisha juu ya kutumia hisia badala ya akili katika kufanya maamuzi kwa sababu hisia huwa zinapenda popote bila kujali ni pazuri au ni pabaya.
Mtu yeyote anaye tumia hisia kufanya maamuzi huwa ana asilimia 97 ya kufeli dhidi ya 3 tu za kufaulu, kwa sababu hisia huwa ni kitu cha muda mfupi tu na huwa kinaisha lakini akili ndo muongozo wa binadamu kuanzia unazaliwa mpaka unakufa.
Kuhusu hisia hapo hakuna cha hisia wala nn bali ni nyege tu zinakusumbua,huyo unaye sema una hisia nae akikuoa ukalala naye kitanda kimoja mwaka mzima hizo hisia hutajua hata zimeenda wapi juu yake na hapo dharau juu yake ndo itakapo anza na utakuja kujutia maamuzi yako lakini utakuwa umechelewa.
Alafu kingine mwanamke mwenye akili anapo chukua maamuzi ya kuolewa huwa hajiangalii yeye binafisi bali huwa ana fanya maamuzi kwa kuangalia pia watoto atakao wazaa, kwa sababu hizo hisia zenu hazitawapeleka watoto wako shule ,hazita wanunulia chakula kizuri hazita wajengea nyumba nzuri ya kuishi.
Kuolewa na mwanaume asiye na msingi wa maisha kwa kigezo cha hisia alafu watoto mtakao wazaa watembee na nguo zenye viraka una kila sifa ya kuitwa mpumbavu.
Tamaa uwaponza kutolewa kafaraolewa na mwenye hela, usiendekeze mapenzi
KWA SAsa utii hauna cha elimu zaidi ya malezi.Ke wengi kwasasa wanaangalia maisha mazuri
Ila kidume huhitaji kuwaza sana chukua chombo chochote kitakachokupendeza isipokuwa hawa wa elimu kubwa ni wajinga mno wavivu wabishi na wanapenda haki sawa wakati hawawez kukojoa wakiwa wamesimama
umemalizaa mimi ni nani hata nipinge. Kuongezea tu hawa wenye vijielimu ukute ndio ana kaajira, qmmae hakuna colour utaacha kuiona.Ke wengi kwasasa wanaangalia maisha mazuri
Ila kidume huhitaji kuwaza sana chukua chombo chochote kitakachokupendeza isipokuwa hawa wa elimu kubwa ni wajinga mno wavivu wabishi na wanapenda haki sawa wakati hawawez kukojoa wakiwa wamesimama
Mfuate mwenye pesa ili uwe kama wenzako wengiWatu wawili wanaonesha interest kwangu.
Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari.
Huyu mwingine mm ndiye nampenda haswa, nikimuona nategwa kihisia kama samaki kaona chambo. Lkn huyu kiuchumi kachoka. Anategemea mshahara na mshahara unategemewa na kijiji (ndugu kibao).
Najiuliza, hivi nikiolewa na huyu wa kwanza tutadumu kweli? Maana sina hisia naye kabisaaa. Kuna muda nakuwa mkali kwake bila sababu, lkn nguvu yake ya kiuchumi inaniweka sawa.
Kwa huyu wa pili pia najiuliza : hivi tutadumu kweli? Kuishi maisha ya kusubiria mshahara, usafiri TZ 11 (miguu), kachumba kamoja kana joto utadhani oven, feni inazunguka mpk inanuka oil. Mmh! Kuna muda nakata tamaa na kutaka kumwaga, lkn hisia za penzi langu kwake zinaniweka sawa.
Ndipo sasa nawauliza. Nitii hisia zipi hapa? Hisia za mapenzi ama za maisha mazuri??
Haaaaa mkuu hapana ila wanaume tutafute hela aisee.Taratibu mkuuu.
Utafanya tuachwe wengine huku..[emoji1787][emoji1787]
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Kuolewa na wote inawezekana sana tu yaani.Haiwezekani.
Hivi App gani unaweza kuweka picha na kuandika maneno hivi.