Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

Always follow your heart bt remember to carry your brains with you.
Hahahahahaha.. Jamaaa umenikumbusha mbali sana kuna mtu mmoja alikua anaupenda sana huu msemo hahah!
"Follow your heart but never forget your brain"
 
Fuata mwenye hela bwana utajifunza kumpenda mbele kwa mbele tumia akili kuliko hisia maana zitakuponza mbeleni mapenz yapo t
 
Back
Top Bottom