Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

Fanya maamuz ambayo hutokaa ujutie baadae
 
Kuolewa na mwanaume asiye na msingi wa maisha kwa kigezo cha hisia alafu watoto mtakao wazaa watembee na nguo zenye viraka una kila sifa ya kuitwa mpumbavu.
Mpaka hapo nishakusoma. Unataka niende kwenye kiyoyozi
 
unauhakika uko peke yako kwa huyo kijeba mwenye pesa ?
Kumbuka Pesa zikiisha na mapenzi yanakufa sababu huna hisia nae
Kuwa makin usije juta mbeleni
Wanawake wengi wanachukia waume zao wakipoteza kazi sababu hii!
 
mpemde umpemdae usiyempenda achana nae dadangu.
 

Ukishakuwa na maisha mazuri utahitaji mapenzi
 
Ke wengi kwasasa wanaangalia maisha mazuri

Ila kidume huhitaji kuwaza sana chukua chombo chochote kitakachokupendeza isipokuwa hawa wa elimu kubwa ni wajinga mno wavivu wabishi na wanapenda haki sawa wakati hawawez kukojoa wakiwa wamesimama
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…