Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza.

Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine.

Unamalizanaje naye.....unamkwepa? unamuignore au unaenda naye hadi mwisho?
 
Wee nenda naye hadi mwisho... watu wanatongoza maghost, ngoja yaje kuwatokea ya kuwatokea.
Ila watu kwanini wanapenda kutongoza tongoza hovyo?
Tongoza ila unachokitaka, hukipati ng'oo πŸ˜ŽπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…