Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mbususu imesalimika kweli?Wanaanza kukuzoea jukwaani
Boom PM oh rafiki nakusabahi
Oh unaonekana uko charming sana kutokana na comments zako
Mara unapatikana wapi
Mmechat masaa ma3
Rafiki naomba nikuone ‘ unamwambia anza kutuma yako.
Anakwambia hii App ya jf inazingua picha haitoki 🤣 lete namba nikutumie wasap