Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza.

Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine.

Unamalizanaje naye.....unamkwepa? unamuignore au unaenda naye hadi mwisho?
Unamchana tuu.. Unampa makavu live.[emoji23]
 
Unarudi kusoma comments zake

Utanote ni mtu wa dizain gani
Je anafit hata kwa asilimia nusu na terms zako?
Hizo terms zio za kimahusiano tu, hata ile urafiki.
Ukikuta mambo meusi unamuacha hapo.

😂😂😅
Asante sana ndio maana kila pisi ninayoifuata inbox inapeperuka, ngoja nitengeneze account mpya niwe na personality flani za ki jentomeni, ndio utamu wa jf unaji edit utakavyo..😂😂😂but the fun thing is hata uki create new acc lazima utajusahau tu😂😂
 
Back
Top Bottom