Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Hahaha nalo neno hiloMfano mimi humu jf navutiwa na wengi mno, lakini nikiwaza kuna ambao hawana jinsia leo KE mara kesho kageuka ME naona ni bora tufahamiane humu humu kwenye comments.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha nalo neno hiloMfano mimi humu jf navutiwa na wengi mno, lakini nikiwaza kuna ambao hawana jinsia leo KE mara kesho kageuka ME naona ni bora tufahamiane humu humu kwenye comments.
😂 lazima mruhusu kufahamiana ndio upendo ujengwe vinginevyo ni matamaaLkn sasa huo upendo uwe na kipimo bas mana kuna akina hao akiona tu avatar kali tayari kashajaa. Huu sio upendo ni tamaa tu
Hakawii kusema nakufata😅Muombe nauli mpaka aombe pooh!
🤣🤣🤣 atapita ataona jamaniMi huyu wangu kwanza nshamuacha japo ye hajui km ashaachwa nasubiri huku kwengine aendeleee akifika mahali sasa nimchambe 😅😅😅na tinted juu
Hawezi elewa 😅😅labda nimuite jina lake🤣🤣🤣 atapita ataona jamani
Kwamba ni mzee na mzembe hivyo 😂🤣🤣Hawezi elewa 😅😅labda nimuite jina lake
Kumbe mnatutamanigi na hamsemi!! Sijapenda 😄Hamna cha mipaka wala minyau
Sisi wenywe tunawatamanigi
Kimiandiko nk
Nimeela, ila ugumu bado nauona baada ya hayo yote status yenu hapa inabakije?Kuna ile mnazoeana jukwaan kama hiv badae wanakuja pm. Mnaendelea kuwasiliana mbeleni wataomba namba za simu haya sasa kwa atakaetoa lolote linaweza kutokea.
Kwahiyo nawewe unamfuata Pm direct?Sema shida unakuta kuna mtu anakuvutia hapa mipaka itanisamehe
Tatizo tukisema mnaanza kuringaaaa 🚮Kumbe mnatutamanigi na hamsemi!! Sijapenda 😄
Dudu washa washa unalifahamuYalaaaah hapa ndani kuna watu muda wote kichwa cha dyudyu kinawasha.
Ukinyanyuka huko ulikoangukia....huduma ya kwanza inakusubiria[emoji846][emoji854]Leo....
Nikawa najitahidi kukudm ikashindikana ndiyo nikaangukia kwa ninayemjua.
Hapana wee naogopa sana kumfuata mtu huko labda aje yeye.Kwahiyo nawewe unamfuata Pm direct?
Na akiringa ni maumivuTatizo tukisema mnaanza kuringaaaa 🚮
Mimi avatar yako tu huwa inaniacha hoi, naona kama umeinama kama dog style, sema huwa nahofia kuja PM nisije tongoza dume kama mimiFungua PM nikupige mtongozo moja makini sana
Hivi haijatokeaga mwamba ambaye ulishamkubalia tena akakutokea na id mpya na katika tongozo zote umemkubalia?🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅imenikuta hiii niko namtathimin bado huyu mwamba aiseeee
Acha kabisa maumivu ya kupuuzwa 😒Na akiringa ni maumivu
Usije hataMimi avatar yako tu huwa inaniacha hoi, naona kama umeinama kama dog style, sema huwa nahofia kuja PM nisije tongoza dume kama mimi
Sitoi, sijaja JF kuja kutoa mzigo Dabykwa hiyo mkuu wewe mzigo hautoi?