Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Hahaha acha hizo mtoto mwema hana genye?🤣🤣Hapana 😅😅😅😅mi mtoto mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha acha hizo mtoto mwema hana genye?🤣🤣Hapana 😅😅😅😅mi mtoto mwema
😁 Kweli mishangazi raha sana itabidi nipate mwakilishi wa mashangazi mmojaHumu mashangazi sie haturingiii
Maisha mafupi acheni watu wavuane tu😁Huyo ni kitombist
Khaaa
Chakoriii tunakupa 😄😁 Kweli mishangazi raha sana itabidi nipate mwakilishi wa mashangazi mmoja
Sasa ndio usiwe Smart mpk unarudia mitongozo?Maisha mafupi acheni watu wavuane tu😁
Hilo jina/id yako inakunyima kutokewa nilijuaga wewe kidume😅😅Hapana 😅😅😅😅mi mtoto mwema
Bado mdogo sijui hayo mambo 😅😅Hahaha acha hizo mtoto mwema hana genye?🤣🤣
😅😅😅😅😅etiiii itabidi nilibadiliHilo jina/id yako inakunyima kutokewa nilijuaga wewe kidume😅😅
Usibadili upunguze jam sisi tuliogundua tunatosha😂😅😅😅😅😅etiiii itabidi nilibadili
Uliwezwa sana🤣Si ni bora hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ile umemkimbia mtu na ID yake A
Akakujia na ID B halafu unaenda kukutana nae unakuta ni same person
Jamani kuna watu hawakimbiliki [emoji23][emoji23][emoji23]
altenative yake, mwingineSi ni mie nimekuchagulia
😁😁
Ulikomeshwaa 🤣Si ni bora hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ile umemkimbia mtu na ID yake A
Akakujia na ID B halafu unaenda kukutana nae unakuta ni same person
Jamani kuna watu hawakimbiliki [emoji23][emoji23][emoji23]
Taja vigezo 🤣🤣altenative yake, mwingine
Chocolate kala, mrefu kiasi, chura kiasi/sana na kitambi kwa mbali bila kusahau macho mazuriTaja vigezo 🤣🤣
😅😅😅😅😅😅umegundua peke ako mbonaUsibadili upunguze jam sisi tuliogundua tunatosha😂
Aah umemsahau mwamba aliyekutokea mara 2🤣🤣😅😅😅😅😅😅umegundua peke ako mbona