Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Si ni bora hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna ile umemkimbia mtu na ID yake A
Akakujia na ID B halafu unaenda kukutana nae unakuta ni same person

Jamani kuna watu hawakimbiliki [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mbususu ilisalimika?
 
Si ni bora hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna ile umemkimbia mtu na ID yake A
Akakujia na ID B halafu unaenda kukutana nae unakuta ni same person

Jamani kuna watu hawakimbiliki [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe kuna umuhimu wa kuwa na ID zaidi ya moja
 
Sasa Kama sikuridhika mwanzo
Mara Ya pili ndo akili ingekua imebadilika [emoji28][emoji28]

Hapana kuna namna mwanaume akiwa mfupi nakosa vibe kabisa

(Sijamsema mtu)
😂 sasa unajuaje ni mfupi na hamjuani
 
Sasa Kama sikuridhika mwanzo
Mara Ya pili ndo akili ingekua imebadilika [emoji28][emoji28]

Hapana kuna namna mwanaume akiwa mfupi nakosa vibe kabisa

(Sijamsema mtu)
Nimecheka sana.
Una vituko sana wewe
 
Back
Top Bottom