NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Umbwa huyo yupo kwa ajili ya kutongoza kila mtu haswa wapya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mimi utanisubiri mpaka Yesu arudi 😂😂 tunaweza zoeana sana jukwaani ila pm sifiki.Hapana wee naogopa sana kumfuata mtu huko labda aje yeye.
Wapi sasaMbususu imesalimika kweli?
Kufahamiana kupo sawa lkn mtu unatongozaje huku na huku bwana huo sio upendo[emoji23] lazima mruhusu kufahamiana ndio upendo ujengwe vinginevyo ni matamaa
Ee usipokuja basi hahaaaKama ni mimi utanisubiri mpaka Yesu arudi [emoji23][emoji23] tunaweza zoeana sana jukwaani ila pm sifiki.
Sisi wanaume tumeshayazoea sana ila KE wa jf hamnatagi kama wale wa instaAcha kabisa maumivu ya kupuuzwa 😒
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kwahio we kigezo picha, ukitumiwa nauli pm hutoki pia!?Wapi sasa
Me ukikataa kunitumia pcha Pm basi hatutoki nje ya pm 🤣
Humu mashangazi sie haturingiiiSisi wanaume tumeshayazoea sana ila KE wa jf hamnatagi kama wale wa insta
Hapana 😅😅😅😅mi mtoto mwemaHivi haijatokeaga mwamba ambaye ulishamkubalia tena akakutokea na id mpya na katika tongozo zote umemkubalia?🤣🤣🤣
Kwani Utasema hata kama ni kweli😀 cha muhimu mkalane tuHapana
Hiyo avatar inatamanisha, siwashangai wanaokimbilia PMUsije hata
Inategemea na response ya wahusika na ikumbukwe hapo mtongozaji hajui kama ni ID za mtu mmoja.Kufahamiana kupo sawa lkn mtu unatongozaje huku na huku bwana huo sio upendo
Ndio utakufa na kihoroEe usipokuja basi hahaaa
Mpk umetuma nauli si umepata namba yangu?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kwahio we kigezo picha, ukitumiwa nauli pm hutoki pia!?
Mimi kuna id mpya niliushitukia mwandiko.Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza.
Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine.
Unamalizanaje naye.....unamkwepa? unamuignore au unaenda naye hadi mwisho?
Hawezi elewa sasa unadhani kama anatongoza id nyingi humu na yangu kashaipa mitongozo miwili atajuaje 😅😅😅Kwamba ni mzee na mzembe hivyo 😂🤣🤣
[emoji1787] haya bwanaInategemea na response ya wahusika na ikumbukwe hapo mtongozaji hajui kama ni ID za mtu mmoja.
Ndio utakufa na kihoro
weeeHiyo avatar inatamanisha, siwashangai wanaokimbilia PM
Kweli nasema nimeshakula hela za wine kama 6 hivi ila kukulana hapana sijafika huko 😅😅😅😅😅Kwani Utasema hata kama ni kweli😀 cha muhimu mkalane tu
Huyo ni kitombistHawezi elewa sasa unadhani kama anatongoza id nyingi humu na yangu kashaipa mitongozo miwili atajuaje 😅😅😅