Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza.

Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine.

Unamalizanaje naye.....unamkwepa? unamuignore au unaenda naye hadi mwisho?
Mimi kuna id mpya niliushitukia mwandiko.
Nikazama pm tukatengeneza ukaribu.
Nikaimbisha nikakubaliwa na kupewa namba..
Kuicheki namaba ni ya mtu wangu mbayaa...nikaishia kucheka sana na nikajisemea...hakuna mkate mgumu kwenye maji/chai.
Wanaume tusijigambe sana eti....🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom