Hivi unapotongozwa na ID ya mtu mnayefahamiana huwa unafanyaje?

Tukianza na Yule Dakitari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie ntakuja kusutwa
Yule hasutagi
Labda akuzushie msala
Au aje akuseme na Id mpya ‘sijui kama ana tabia za matipo
 
Katika vitu vimenishinda ni kumiliki laini ya simu zaidi ya 1 na id mbili, najiona najulikana I can't act kuwa mtu mwingine halafu naogopa aibu ya id kuunganishwa
Wewe na mi koment yako bila shaka pm yako imejaa na kufurika🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aah huyu apewe tuzo jamani, basi nilimuwaza yule daktari mwingine wa mchongo.

Mwamba kabisa
Wadada hamtaki mitaji ya biashara sijui mnataka nn sasa


Dokta wa mchongo? Code ngumu 😕
Au nina njaa
 

Lazma ni yule mwamba 🤣
 
Tabia mbaya

Ndugu yetu hapa aliishiwa pozi kabisa.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…