Hivi unaujua msala wewe? Nimemuingiza msichana kwenye Diaba la Maji

Hivi unaujua msala wewe? Nimemuingiza msichana kwenye Diaba la Maji

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,167
Reaction score
2,612
Wadau inakuaje asee? I hope mko yechu yaani haina gweraa...Acha niende direct kwenye issue mezani...

Juzi kati hapa kunae iyo pisi Kali niliialika maskani ghetoni ndichi,pisi ni Kali laana iko vigezo kinyama,Bas huyu manzi Mshua wake anapigo za ki'whack ni mkorofi sijawahi ona Afrika Mashariki na kati.

Dingii ariff Msala usikie2,na sio uusikie2, Uskie kwa mbali..Kipindi Niko na manzi geto nam'micha sijui fala gani katika dunia hii asiyependa maendeleo yangu akaenda kumsanua Dingi ake na manzi kuwa nnae geto namkadafua?

Dingi mtu si akakusanya maraia kama 30 hivi na silaha juu wakazuka fas duas mageiyo kwangu,,wamefika pale wakapiga hodi uku wako bunduki kisoro"Wee mpumbavu fungua" Nikasema eenhee kishawaka tayari,ikabidi nivae chapcheree then nikafungua mlango manzi nkamuacha Kitandani akiwa na wasiwasi elfu18 asijue cha kufanya...

DINGI:"Kijana toka nje na huyo mpumbavu mwenzio"...Mimi mwenyewe walinikuta magari ya Europa yashawaka,,nikawajibu
MIMI:"Mhhhh Mimi kabisa siwezi kutoka nje labda mmchukue tu huyu mtoto wenu,We Farida toka nje wenzio wanakuita"..Daah nilipowajibu ivo kuna kazee kaliona in dharau si kakapata moto kakawaka kinyama kakataka kaje kuniamshia wenzie wakakazuia kakavunga...

Nikafunga mlango nikamwambia manzi aingie kwenye Diaba la kuwekea maji Ila lilikua tupu,kweli manzi hakuleta perepete shazi si akazama ndichi nikalifunika alaf juu nikaeka mabegi na manguo then nikafungua dirisha...

Alaf nikafungua mlango nikawaambia mtoto wenu hayupo humu hata mkiingia ndani muangalie,kweli wakazama ndani wakaanza kumdere kila chochoro mixer mauvunguni lakini wapi!?mmoja akasema itakua katokea dirishani maana nilimskia aliitika alaf angalieni dirisha liko wazi,,bas wakatoka nje wakazunguka dirishani wakakaa kama dakika moja then wakang'oa kurudi walipotokea japo hawakuridhika,,alaf Chaliako nikamtoa mamiloox kwenye Diaba show ikaendelea...

@NgarenaroBoy
 
Nakielewa sana, hii ni lugha ya vijsna wachache sana wasio na future Arusha.
Wanaishi uswahilini...kijenge, matejoo, unga ltd, ngarenaro na kidogo sana Sanawari.
Wengi wao ni wavuta bangi tu.

😂😂😂😂😂😂😂
Hao jamaa huwa wanajiona wamefanikiwa sana kisa tu wanaweza kuongea lugha za hovyo
 
Back
Top Bottom