Hivi unaujua msala wewe? Nimemuingiza msichana kwenye Diaba la Maji

Ulivyoanza kuandika tu nikajua mirungi ya Arusha imeshakukamata vilivyo,kosa kubwa sana ulifanya eti unamwita alafu wanaingia ndani,Mimi Kama kijana wa kanda maalum wangerudi huko huko walikotoka na kwenda kusema yule ni kijana siyo wa kuchezea .ningewajibu kwa mashambulizi makali
 
Dingii umetuona maboya? Unatuchanganyia waya katikati ya kamba jombaaa
 
Wala ugolo hao brow! wala bangi hawapo ivo
Nakielewa sana, hii ni lugha ya vijsna wachache sana wasio na future Arusha.
Wanaishi uswahilini...kijenge, matejoo, unga ltd, ngarenaro na kidogo sana Sanawari.
Wengi wao ni wavuta bangi tu.
 
Hahaha
Ulivyoanza kuandika tu nikajua mirungi ya Arusha imeshakukamata vilivyo,kosa kubwa sana ulifanya eti unamwita alafu wanaingia ndani,Mimi Kama kijana wa kanda maalum wangerudi huko huko walikotoka na kwenda kusema yule ni kijana siyo wa kuchezea .ningewajibu kwa mashambulizi makali
 
Basi tuu...Nimejikuta nashindwa kuendelea kusoma kilichoandikwa.
 
YANI HII STORY AKISOMA MTU YOYOTE ANAJUA NI CHAI.
NA ULIPOHARIBU ZAIDI NI PALE ULIPOSEMA ULIWAAMBIA WAJE WAMCHUKUE MWENZAO NA UKAMUITA KABISA ETI FARIDA TOKA NJE.
HALAFU HAPO HAPO UKAMWINGIZA KWENYE JABA NA WAO UKAWAINGIZA NDANI WAKAMKOSA, KISHA WAKAONDOKA.
HIVI MTU UMESHAMWAMBIA ATOKE NJE HIVYO WANA UHAKIKA KABISA UPO NAE, HALAFU WAINGIE NDANI WAMKOSE NA WARIDHIKE KUKUACHA HIVI HIVI?
ARIFU UMETUONA MAREE NINI? MPAKA UTUPIGE KAMBA HIVYO?
 
Nilifungua dirisha ili wajue katokea dirishani mkuu
 
Nimemsikia mbasha karopoka "Unajua wewe ngareroo ni bange sana". Mara nikasikia kishindo cha mtu kama aliyekula ngwala lakini sikugeuka
 
Back
Top Bottom