Nakielewa sana, hii ni lugha ya vijsna wachache sana wasio na future Arusha.
Wanaishi uswahilini...kijenge, matejoo, unga ltd, ngarenaro na kidogo sana Sanawari.
Wengi wao ni wavuta bangi tu.
Ulivyoanza kuandika tu nikajua mirungi ya Arusha imeshakukamata vilivyo,kosa kubwa sana ulifanya eti unamwita alafu wanaingia ndani,Mimi Kama kijana wa kanda maalum wangerudi huko huko walikotoka na kwenda kusema yule ni kijana siyo wa kuchezea .ningewajibu kwa mashambulizi makali
😂😂😂😂Mwandiko huu kuopoa pisi kali ni mashaka[emoji28]
Pisi Kali za chuga huu mwandiko ndo zinauelewa arifu,nenda na kidaslam chako utakula mitoso mpaka ufunge ndoa ya kudumu na mikono yako(nyeto)Mwandiko huu kuopoa pisi kali ni mashaka[emoji28]
Zile pisi zinazovuta bangi labdaPisi Kali za chuga huu mwandiko ndo zinauelewa arifu,nenda na kidaslam chako utakula mitoso mpaka ufunge ndoa ya kudumu na mikono yako(nyeto)
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo niku tafsirie mwaya...Basi tuu...Nimejikuta nashindwa kuendelea kusoma kilichoandikwa.
Nilifungua dirisha ili wajue katokea dirishani mkuuYANI HII STORY AKISOMA MTU YOYOTE ANAJUA NI CHAI.
NA ULIPOHARIBU ZAIDI NI PALE ULIPOSEMA ULIWAAMBIA WAJE WAMCHUKUE MWENZAO NA UKAMUITA KABISA ETI FARIDA TOKA NJE.
HALAFU HAPO HAPO UKAMWINGIZA KWENYE JABA NA WAO UKAWAINGIZA NDANI WAKAMKOSA, KISHA WAKAONDOKA.
HIVI MTU UMESHAMWAMBIA ATOKE NJE HIVYO WANA UHAKIKA KABISA UPO NAE, HALAFU WAINGIE NDANI WAMKOSE NA WARIDHIKE KUKUACHA HIVI HIVI?
ARIFU UMETUONA MAREE NINI? MPAKA UTUPIGE KAMBA HIVYO?