Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa.

Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana.

Ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya kushobokea jiji la kifahari kama hili

Aisee dar ni another New York In Tanzania
 
Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya kushobokea jiji la kifahari kama hili aisee dar ni another New York In Tanzania
Kama wanaoishi mjini ndo sample yenu dimondi alieenda kwa pididi bora tukae maporini tu kwakweli, kama huo ndo ujanja basi acha tuendelee kua washamba
 
Ishi pale ambapo kipato chako kilipo

Kama earnings zako zipo Mkoani jikite huko, kama deals zako za kuingiza Milioni milioni zipo DSM endelea kujikita huko.

Have got home both DSM na Mkoani

Unaweza kujisifia kuishi DSM miaka na miaka lakini ukipata shida ya laki 5 tu lazima uwapigie simu watu wa Mkoani kuomba wakukopeshe

Kwa namna hiyo Kuna haja gani kuendelea kuishi Jiji ambalo linakupa stress
 
Back
Top Bottom