Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P Diddy ni mmeo nini mkuu mbona unamtaja sana?Kwakweli acha tu ila sio kuja mjini na kuanza michezo ya upididi kaeni wenyewe na upididi wenu kwakweli
Endelea kuishi kwenye hifadhi ya taifa hata profile Yako inakuonesha ni WA kuja
Endelea kuishi kwenye hifadhi ya taifa mkuu maana ata profile Yako inakuonesha upo longidoIshi pale ambapo kipato chako kilipo
Kama earnings zako zipo Mkoani jikite huko, kama deals zako za kuingiza Milioni milioni zipo DSM endelea kujikita huko.
Have got home both DSM na Mkoani
Unaweza kujisifia kuishi DSM miaka na miaka lakini ukipata shida ya laki 5 tu lazima uwapigie simu watu wa Mkoani kuomba wakukopeshe
Kwa namna hiyo Kuna haja gani kuendelea kuishi Jiji ambalo linakupa stress
Kwa hiyo alibarikiwa?Ampeleke na mleta uzi.Kubarikiwa awe mjanja zaid
Mpaka anipite mlugaluga kama wewe Mimi nimeganda tu ndio maana nakuambia wewe ni mshambaUjanja wa Mtu ni Akili Yake siô sehemu anayoishi
Wewe unaishi Dar alafu Mtu wa mkoani akija ndàni ya Miaka mitano anakupita Kwa kîla kitu kuanzia Elimu, Pesa, Mwanamke mzuri n.k.
Sasa Nani Mjanja Hapo
Mpaka anipite Mimi nimeganda tu ndio maana nakuambia wewe ni mshamba
Dalilii ya watu wa mikoani ndio maana mkiingia dar mnakua mapungaKwa hiyo alibarikiwa?Ampeleke na mleta uzi.
Hahaha......... kwahiyo hutaki nitunze Mila zetu Mkuu? By the way DSM ni joto ndiyo maana nimevaa Shuka 😜Endelea kuishi kwenye hifadhi ya taifa mkuu Amana ata profile Yako inakuonesha upo longido
Ndo baba paroko wa role model wenu huko mjini......mmenogewa na mambo yake ndo maana hamtaki kubanduka hukoP Diddy ni mmeo nini mkuu mbona unamtaja sana?
Keshabarikiwa huyo huoni hasikii haambiliki na hilo jiji la role model waoKwa hiyo alibarikiwa?Ampeleke na mleta uzi.
Ndio maana nikasema watu wamikoani ni washamba sana kwahiyo umekariri Kila mtu anaajiriwa kama nyie mnavyochunga ng'ombe sio Mimi maisha ya utumwa Sina na sitokuja kuyafanya kama wewe umeajiriwa endelea kuajiriwa Mimi naajiri masikini kutoka mikoani kama weweHapo ulipo umeajiriwa na Watu wa Mikoani au ni jobless?
Kwani ile sample ya tandale ilitoka mkoa gani si born hiahia auDalilii ya watu wa mikoani ndio maana mkiingia dar mnakua mapunga
Ndio maana nikasema watu wamikoani ni washamba sana kwahiyo umekariri Kila mtu anaajiriwa kama nyie mnavyochunga ng'ombe sio
😁😁😀😀na hili joto kajisweka huko buza kachumba ka1 choo na bafu la kushea halafu usiku tanesco wanakata umeme anakua kakaa kama kwenye microwave ila anajiona kawin maishaSasa mtu unakaa Dar unajisifu hauko porini kumbe unakaa vingunguti kumamaakeee bora anaishi mikoani aisee
Akili Yako wewe ndio ndogo unadhani Kila mtu anaajiriwa kama wewe unavyochunga ng'ombe ndio maana umeanza kuuliza Hilo swali sababu wewe ni mtumwa unatumikia mtuHapa ulipo unatumia Mtandao wa JF wa Mtu wa mkoani. Yaani umeajiriwa Bila Malipo semà Kwa vile Akili yako ndogo Huwezijua
Nani kakuambia dar Kuna joto masikini kama wewe ukiingia dar ndio unalipata joto😁😁😀😀na hili joto kajisweka huko buza kachumba ka1 choo na bafu la kushea halafu usiku tanesco wanakata umeme anakua kakaa kama kwenye microwave ila anajiona kawin maisha