didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Me sijawahi kufika dar hivi kupoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hiyo hew chafu na malaana ya uraibu wa kokein , ushoga na usagaji imekuharibu akali yakoo.Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa.
Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana.
Ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya kushobokea jiji la kifahari kama hili
Aisee dar ni another New York In Tanzania
Dar ni dampo, a.k.a. shitholeYaani nashindwa kuelewa watu wanaoishi maporini maana dar ndio sehemu ya kuishi binadamu
Hahaha...............sawa Mkuu, karibu tuendelee kuteseka na Joto 😜Joto lipo kwako wewe Masikini dar hamna joto
Ukiona unaishi sehemu unasikia joto ujue wewe ni masikini Sasa dar hamna joto Kwa sisi Matajirimaskini waliofungwa kifikra mijini huwa na hofu, mtazamo na maoni tatanishi sana hususani kipindi wanapoteswa na joto kali sana na kupitia ugumu wa maisha katika maeneo wanayoishi. hawa huwa ni maskini jeuri.
cha kushangaza zaidi, watu wa mikoni huja dar na kutumia fursa nyingi sana zilizopo dar na ndiyo maana hata matajiri na wenye pesa mingi sana dar ni wale wa mikoani ambao wako vizuri sana dar kiuchumi, lakini pia wako vizuri mno huko miokoani vijini kwao.
wa dar ndio kama mtoa hoja sasa dah!
wana mangamanga tu pembezoni mwa wamikoani labda watapata kakitu ka kwenda kinywani huku wakiongea maneno mbofu mbofu kama hivi 🐒
Endelea kuishi hifadhi ya taifa naona umefanana na nyaniDar ni dampo, a.k.a. shithole
Kwa kila kundi la vijana 10 wa dar mapapai/mapunga watatu mpaka wanne,mleta mada wewe ni papaiDalilii ya watu wa mikoani ndio maana mkiingia dar mnakua mapunga
😁😁😀😀na hili joto kajisweka huko buza kachumba ka1 choo na bafu la kushea halafu usiku tanesco wanakata umeme anakua kakaa kama kwenye microwave ila anajiona kawin maisha
Dalilii ya watu wa mikoani ndio maana mkiingia dar mnakua mapunga
Dar hamna joto ukionq unasikia joto dar ujue wewe ni masikini
Hao mapunga ni watu wa aina Yako mnaotoka huko porini mnaokurupukia mji wa starehe kama dar halafu hamna pesa lazima mgeuke kuanza kuuza nuktaKwa kila kundi la vijana 10 wa dar mapapai/mapunga watatu mpaka wanne,mleta mada wewe ni papai
Hahaha..................sawa Mkuu 🙌Dar hamna joto ukiona unasikia joto dar ujue wewe ni masikini
SawaHahaha..................sawa Mkuu 🙌
Kama hanywi mjini Porini Sasa ndio atakunywa niniUtamu wa bia inywee bar za pembeni.
Halafu tajiri hanywi bar za mjini. ✍🏾
Fila utapaonaMe sijawahi kufika dar hivi kupoje?
Mashoga waliopo dar wametokea mikoani wamekurupukia jiji Sasa wanauza nukta sababu hawana pesaYaani hiyo hew chafu na malaana ya uraibu wa kokein , ushoga na usagaji imekuharibu akali yakoo.
Maana huku mikoani huwezi pata hayo malaana ,so umeigeuza akili yako uone huku ni porini
Dar hamna joto Kwa matajiri kama sisi ila masikini kama wewe lazima ulione jotoNaskia Dar joto 42° Kama Khartoum.
Mvuto wa ninitunakoelekea inaenda kupoteza mvuto pataanza kuwa kama facebook
Kuangalia muviHivi alienda kwa Pdidy kufanya nini huyo wa mjini?