Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya kushobokea jiji la kifahari kama hili aisee dar ni another New York In Tanzania
Una uhakika hujatumia chochote? Maana si kwa akili hizi.
 
Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya kushobokea jiji la kifahari kama hili aisee dar ni another New York In Tanzania
Manzese kwa Mtogole...
 
😁😁😀😀na hili joto kajisweka huko buza kachumba ka1 choo na bafu la kushea halafu usiku tanesco wanakata umeme anakua kakaa kama kwenye microwave ila anajiona kawin maisha
😆😆😆😆 yaan wanaoishi dar na kufurahia maisha hawazidi 20% ila waliobaki wanaishi maisha ya mateso sn pata picha mtu anagombania usafiri mpk viatu vinakatika anarudi home kiatu kashika mkononi unaonekana ka mwehu yaan
 
Akili Yako wewe ndio ndogo unadhani Kila mtu anaajiriwa kama wewe unavyochunga ng'ombe ndio maana umeanza kuuliza Hilo swali sababu wewe ni mtumwa unatumikia mtu

Wewe Hapa hujui umeajiriwa JF Bila Malipo alafu hujui?

Watu àmbao hata kupanda Ndege kwenda nje ya nchi ndîo mnaona Dsm ya maana na kudharau wamikoani
 
😆😆😆😆 yaan wanaoishi dar na kufurahia maisha hawazidi 20% ila waliobaki wanaishi maisha ya mateso sn pata picha mtu anagombania usafiri mpk viatu vinakatika anarudi home kiatu kashika mkononi unaonekana ka mwehu yaan
Ukiona umefikia hatua hiyo achana na maisha maana dar ni ya watu kama sisi wenye pesa
 
Wewe Hapa hujui umeajiriwa JF Bila Malipo alafu hujui?

Watu àmbao hata kupanda Ndege kwenda nje ya nchi ndîo mnaona Dsm ya maana na kudharau wamikoani
Wewe huna la kuniambia hata profile Yako inakuonesha ni mlugaluga tu endelea kujifurahisha
 
Sisi ambao tumeishi majiji mengi kama Nairobi,Kampala,Pretoria,Addis Ababa au kule Kigali tunaona Dar inanuka uchafu na haifai kabisa kisifiwa
 
Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa.

Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana.

Ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya kushobokea jiji la kifahari kama hili

Aisee dar ni another New York In Tanzania
Key board worrier in making
 
Sisi ambao tumeishi majiji mengi kama Nairobi,Kampala,Pretoria,Addis Ababa au kule Kigali tunaona Dar inanuka uchafu na haifai kabisa kisifiwa
Endelea kukaa kwenye hifadhi ya taifa mkuu naona unajifariji
 
Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya kushobokea jiji la kifahari kama hili aisee dar ni another New York In Tanzania
maskini waliofungwa kifikra mijini huwa na hofu, mtazamo na maoni tatanishi sana hususani kipindi wanapoteswa na joto kali sana na kupitia ugumu wa maisha katika maeneo wanayoishi. hawa huwa ni maskini jeuri.

cha kushangaza zaidi, watu wa mikoni huja dar na kutumia fursa nyingi sana zilizopo dar na ndiyo maana hata matajiri na wenye pesa mingi sana dar ni wale wa mikoani ambao wako vizuri sana dar kiuchumi, lakini pia wako vizuri mno huko miokoani vijini kwao.

wa dar ndio kama mtoa hoja sasa dah!

wana mangamanga tu pembezoni mwa wamikoani labda watapata kakitu ka kwenda kinywani huku wakiongea maneno mbofu mbofu kama hivi 🐒
 
Dalilii ya watu wa mikoani ndio maana mkiingia dar mnakua mapunga

Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa.

Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana.

Ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya kushobokea jiji la kifahari kama hili

Aisee dar ni another New York In Tanzania
Wewe ni jobless au panya road,mtu mwenye maisha ya maana hana mda wa kuandika upuuzi kama huo,una uwezo mdogo sana kiakili na una msongo wa mawazo
 
Back
Top Bottom