Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Yaani nashindwa kuelewa watu wanaoishi maporini maana dar ndio sehemu ya kuishi binadamuAsee
Endelea kukaa porini mkuumh! kama hizi ndo akili za watu wa dar basi heri wanaoishi tu huko maporini!
Kama wanaoishi mjini ndo sample yenu dimondi alieenda kwa pididi bora tukae maporini tu kwakweli, kama huo ndo ujanja basi acha tuendelee kua washambaKila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya kushobokea jiji la kifahari kama hili aisee dar ni another New York In Tanzania
Ina maana hujawahi kufika huku tunapoishi?Hatuvai nguo wala kupika chakula.Yaani nashindwa kuelewa watu wanaoishi maporini maana dar ndio sehemu ya kuishi binadamu
Endelea kukaa maporini na kuendelea kucheza na nyani mpaka ufanane nao Hadi manyoyaKama wanaoishi mjini ndo sample yenu dimondi alieenda kwa pididi bora tukae maporini tu kwakweli, kama huo ndo ujanja basi acha tuendelee kua washamba
Hivi alienda kwa Pdidy kufanya nini huyo wa mjini?Kama wanaoishi mjini ndo sample yenu dimondi alieenda kwa pididi bora tukae maporini tu kwakweli, kama huo ndo ujanja basi acha tuendelee kua washamba
Tanzania ukitiitoa dar kunakobaki ni hifadhi ya taifaIna maana hujawahi kufika huku tunapoishi?Hatuvai nguo wala kupika chakula.
Endelea kuishi kwenye hifadhi ya taifa hata profile Yako inakuonesha ni WA kujaKatika kuzunguka Kwangu Dar washamba ni wengi Sana kuliko Mikoani.
Kubarikiwa awe mjanja zaidHivi alienda kwa Pdidy kufanya nini huyo wa mjini?
Mimi nilikuwa sjui.Kumbe?Tanzania ukitiitoa dar kunakobaki ni hifadhi ya taifa
SijuiHivi unawezaje kuishi Tanzania?
NdioMimi nilikuwa sjui.Kumbe?
Kwakweli acha tu ila sio kuja mjini na kuanza michezo ya upididi kaeni wenyewe na upididi wenu kwakweliEndelea kukaa maporini na kuendelea kucheza na nyani mpaka ufanane nao Hadi manyoya