Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

Kumamaakee kama ungekuwa na pesa ungekuwa unazurula mitandaon humu wenye pesa ushawaona JF humu
Nipo mtandaoni Ili kuwaelimisha masikini kama wewe mliopigwa na maisha mnaishia kutukana hovyo hata Elon mask yupo mtandaoni
 
Siwez hangaika kuku provia ww ila unatuaibisha ata kama mjini umekuja juzi karibu lakin huwez act ivo kaka nakuelekeza
Jaribu kuwaelekeza walugaluga wenzako wa huko porini sio Mimi mtoto wa mjini
 

Mulokozi tupo naye Manyara huku!!
 
una umri gani ?
 
Mdogo wang h’ve been here since chekechea sasa kaka umekuja huku baada ya kufeli form 4 then unatambia raia kweli? 😞
 
Umeandika Kwa uchungu sanaaaa kama mama mja mzito🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyinyi ndio mnaofanya Nchi jirani vijana wadharau nchi hii.
 

Attachments

  • VID-20241029-WA0036.mp4
    2.6 MB
Mbagala, Mburahati, Mabibo, kigogo, Magomeni na Vinginguti. Ni Dar?
 
Wazee wa utumbo wa kuku hivi ule utumbo mnaukamuaje kutoa mbolea mbona ni mdogo sana au mnakula hvohivo na mavi ya kuku???
 
Hivi kweli unajifu kuishi DSM wakati unakuta mtoa mada anaishi nyumba ya kupanga , tena ni kachumba kamoja alafu anajtamba Kwa mtu anayeishi mkoani anamiliki mjengo wa maana alafu bank account inasoma eight digits anakula chakula anacho penda, ana miliki ardhi ya kutosha na miradi yake ina generate income za kutosha . Alafu mengine anaishia kupiga picha kwenye nyumba na magari ya watu ,hapo nani mjanja
 
Hivi shule zimefungwa ?
Bladiful
 
Toka huko hifadhi ya taifa masikini wewe utafanana na nyani usijifariji
 
Huyu ni yule dogo ambaye hua anaanzisha threads za kusema ana hela nyingi na kuwatukana watu wote akiamini kua yeye ana hela kuliko member wote wa jf,

Angalia reply zake utagundua hilo,amekuja na ID nyingine ila reply zake ni style ile ile.
Jaribu kutoka huko porini utafanana na nyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…