Hivi ungejaaliwa kuipata blioni moja ungeitumiaje?.

Nimejikuta wivu umenishika utafikili umezipata kweli hizo pesa hebu fikilia unaanzaje kutoa milion100 fungu lakumi kanisani? daah boraa tu iishie kua ni stori tu kua tunaongea hayawez kutokea maana nimestuka
Hahahahaa. Tunajifariji tu na hizo namba. Ila Mimi hela ambayo sijaitolea jasho kuitoa hata nusu yake sioni hasara. Ningetoa 100M kwa roho moja ikasaidie kueneza neno
 
Kiukweli pesa hiyo ningeipata msingekua mnaniona humu jf mngekua mnaniona kwenye yale majarida ya kimarekani ambayo yanatangazaga habari za wasanii na watu wakubwa wakubwa
 
Kiukweli pesa hiyo ningeipata msingekua mnaniona humu jf mngekua mnaniona kwenye yale majarida ya kimarekani ambayo yanatangazaga habari za wasanii na watu wakubwa wakubwa
Hahahahaaa. Tungekua tunakuona ukiwa unafanya nini?
 
Kwa kweli mimi ningeiga mfumo wa china!! Sababu serikali inapenda mikopo basi ningeikopesha, alafu bondi nataka waweke rehani uwanja wa chato ili wakishindwa kulipa ni upige mnada!!
Hahahaaa! duh..
 
Sawa da mkubwa, lakini hiyo ya mwisho ni hatari kwa afya yako, dont try at home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…