Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Kubet nako ni njia mojawapo mkuu
kama ipi embu niambie,lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ipi embu niambie,lol
Hahahahaa. Tunajifariji tu na hizo namba. Ila Mimi hela ambayo sijaitolea jasho kuitoa hata nusu yake sioni hasara. Ningetoa 100M kwa roho moja ikasaidie kueneza nenoNimejikuta wivu umenishika utafikili umezipata kweli hizo pesa hebu fikilia unaanzaje kutoa milion100 fungu lakumi kanisani? daah boraa tu iishie kua ni stori tu kua tunaongea hayawez kutokea maana nimestuka
AmeniiiiNatamka kuanzia sasa na wewe utaitwa bilionea sema AMENIIIIII
Mkuu uko matawi ya juu sanaWe ukinipa hata million 50 tu nakupa ujuzi wote ninaojua.
Kubet nako ni njia mojawapo mkuu
Ivoooo.Mkuu uko matawi ya juu sana
Ameniiii
Ila kuna mambo yako nataka nikuambie nashindwa pa kuanziaIvoooo.
HahahahaaUmeshapokea muujiza wako tembea kifua mbele ukiamini imeshakuwa... Usisahau kuja pm kwa maombi zaidi
Mambo ya hela au maneno?Ila kuna mambo yako nataka nikuambie nashindwa pa kuanzia
Hahahahaaa. Tungekua tunakuona ukiwa unafanya nini?Kiukweli pesa hiyo ningeipata msingekua mnaniona humu jf mngekua mnaniona kwenye yale majarida ya kimarekani ambayo yanatangazaga habari za wasanii na watu wakubwa wakubwa
HahahahaaMambo ya hela au maneno?
Skendo tu utakuta kichwa cha habari kimeandikwa beyonce anampenda oscarsolomon lakini jamaa hampendi mara trump kaingilia kati mgogoro wangu na jayzHahahahaaa. Tungekua tunakuona ukiwa unafanya nini?
HahahahahahaaaaaSkendo tu utakuta kichwa cha habari kimeandikwa beyonce anampenda oscarsolomon lakini jamaa hampendi mara trump kaingilia kati mgogoro wangu na jayz
Bintii.. lala sasaHahahahahahaaaaa
Hahahahahahaaaaa
Usingizi umegomaBintii.. lala sasa
Hahahaaa! duh..Kwa kweli mimi ningeiga mfumo wa china!! Sababu serikali inapenda mikopo basi ningeikopesha, alafu bondi nataka waweke rehani uwanja wa chato ili wakishindwa kulipa ni upige mnada!!
Ha! Zikiishia njiani je ?Nyie tu mtachagua mnapotaka kwenda. Hata mwezini nawapeleka
Tia kwenye kibubu mzee panya afanye yake!Cha kwanza kabisa nabet timu mbili za uhakika kwa kuweka dau la 500million halo sikose 1.5 billion plus na 500million iliyobakia inakuwa 2billion ..
Naificha hiyo hela kwenye kibubu mpaka niwe mkubwa nianze kuitumia
Sawa da mkubwa, lakini hiyo ya mwisho ni hatari kwa afya yako, dont try at home.I was going to build biiiiiiig houses for homeless.
I was going to build more mental hospitals sababu currently they are few,
ninge support wakulima wa nchi hii,sababu watanzania hasa vijijini wengi ni wakulima,
ningejenga maktaba(library) nyingi,watanzania wengi wasome wawe knowledgeable hasa wale ambao hawakupata formal education,
YA MWISHO NINGEIPINDUA SERIKALI YA CCM,IPO HAPO KWA SABABU ZA KIDHALIMU,HASA NA MIMI NIKIWA NA MADORALI YA KUTOSHA NITAINUNUA NCHI(kweli hizi ni ndoto,billioni moja sidhani kama nitafikisha million kumi in my entire life lols 🙄🙄🙄🙄