Hata ungesema ist sawa tuu mkuu!Uongo ni sehemu ya maisha
Kuna viunzi huwezi kuviruka bila kutumia uongo yaani ni uache usiendelee au uendelee kwa kutumia uongo ndiyo maana hata kwenye masimulizi nabii Ibrahim au Abraham aliongopa nae
Kwahiyo uongo Upo ila vizuri usipitilize sana nataman kuendelea ila Mercedes yangu ishajazwa mafuta acha niondoke hapa

Huna baya TajiriUongo ni sehemu ya maisha
Kuna viunzi huwezi kuviruka bila kutumia uongo yaani ni uache usiendelee au uendelee kwa kutumia uongo ndiyo maana hata kwenye masimulizi nabii Ibrahim au Abraham aliongopa nae
Kwahiyo uongo Upo ila vizuri usipitilize sana nataman kuendelea ila Mercedes yangu ishajazwa mafuta acha niondoke hapa
Mueleweshe mkuu Kimwakaleli kuwa hiyo Mercedes ninayo na ninaimiliki kihalali tokea nilivyojiunga jf 😂Huna baya Tajiri
Hv uongo na umbea to fa u ti?Uongo siupendi jamani
Kuna umbea wa Ukweli.Hv uongo na umbea to fa u ti?
Uongo ni njia mbadala ya mlengwa kujitahidi kuufanyia mazingaombwe ubongo wako ukubaliane na mawazo hitajika kwa wakati husika.Wakuu nimekuwa nikijiuliza bila hata kupata majibu .
Uongo unaweza kuwa ni ugonjwa au moja ya tabia tu mbaya ?
Kimsingi kila binadamu ana madhaifu yake anaweza akadanganya ili kuepuka aibu na wakati mwingine kutaka kujilinda, au kutafuta faida hasa kwenye ishu za pesa, na wakati mwingine mtu huongea uongo ili kuepuka adhabu, au mbaya zaidi mtu huongea uongo aonekanekana ni mtu mwenye sifa nzuri kwenye jamii.
Kuna wale ambao huongea uongo wa kulazimisha (pathological lying) Hasa ndugu zetu Wanasiasa na Machawa ambao hongea uongo wa waziwazi tena usio na faida yoyote na happ ndipo huwa nawaona wana matatizo fulani ya afya ya akili au kukosa utu kwa hali fulani
Nini mtazamo au mawazo yenu kuhusu ''UONGO " Je ni tabia mbàya au ni ugonjwa ?