Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,620 Reaction score 3,165 Jul 18, 2026 #21 realMamy said: Uongo siupendi jamani Click to expand... hujawahi kudaganya kwenye maisha yako? Kama ushawah unaupenda uongo maana kama kitu hukipendi huwezi kukitumia
realMamy said: Uongo siupendi jamani Click to expand... hujawahi kudaganya kwenye maisha yako? Kama ushawah unaupenda uongo maana kama kitu hukipendi huwezi kukitumia
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 7,450 Reaction score 19,184 Jul 18, 2026 #22 Matunzo 02 said: hujawahi kudaganya kwenye maisha yako? Kama ushawah unaupenda uongo maana kama kitu hukipendi huwezi kukitumia Click to expand... Sijawai
Matunzo 02 said: hujawahi kudaganya kwenye maisha yako? Kama ushawah unaupenda uongo maana kama kitu hukipendi huwezi kukitumia Click to expand... Sijawai
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 22,269 Reaction score 58,563 Jul 18, 2026 Thread starter #23 Holoholo said: Kuna wakati ili upate jambo la muhimu ni lazima uongee uongo! Mfano ukimpenda demu lazima ujaze uongo zaidi ya ukweli ili umpate vinginevyo hutaweza kumvua chupi. Click to expand... Uongo ni ugonjwa au tabia mbaya ?
Holoholo said: Kuna wakati ili upate jambo la muhimu ni lazima uongee uongo! Mfano ukimpenda demu lazima ujaze uongo zaidi ya ukweli ili umpate vinginevyo hutaweza kumvua chupi. Click to expand... Uongo ni ugonjwa au tabia mbaya ?
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,620 Reaction score 3,165 Jul 18, 2026 #24 realMamy said: Sijawai Click to expand... huenda wew siyo binadamu ni mgeni kutoka sayari nyingine maan uongo ni tabia ya asili ya binadamu
realMamy said: Sijawai Click to expand... huenda wew siyo binadamu ni mgeni kutoka sayari nyingine maan uongo ni tabia ya asili ya binadamu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 20, 2026 #25 Tabia mbaya... Cc: Mahondaw