Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Wakuu Habarini...
Wakati Hii Redio Inakuja, Ilianza Kwa Kishindo Sana Na Wengi Tukafurahi Kwamba Sasa Tunapata Uwanda Mpana Wa Kupata Habari Toka Vyanzo Na Redio Mbalimbali.
Ila Kuna Mbinu Ambayo Waliitumia Kwa Kushawishi Na Kuiba Wafanyakazi Wenye Uzoefu Toka Redio Zingine. Ni swala zuri lakini Kati ya Mistake Kubwa Waliyofanya Ni Kuwachukua Baadhi Ya Watangazaji Ambao Walikua iiFM Akiwemo Huyo Anaitwa Jembedari Ambae Alisababisha Tuache Kusikiliza Ile Redio. Sababu Ya Kutokua Mchambuzi Sahihi Wa Mpira Bali Mnazi Wa Timu Moja.
Hayo Hayo Aliyoyafanya iiFM ndio Hayo Hayo Anayaleta TajiFM... Ukisikiliza Hiki Kipindi Jembedari Hua Sio Muongeaji Sana, Hapewi Airtime kama Anayopewa Po Mkali au Kamanda Jofi AnaLea, Lakini Inapokua Mada Ya Kuhusu Kuiponda Yanga, Kipindi Chote Ataongea Jemedari. Yaani Yote Maovu Na Hata Yasiyo Maovu Msemaji Ni Jembedari. Hata Maisha Binafsi Ya Wachezaji Wa Yanga Na Rais Wake, Bado Msemaji Ni Jemedari...
Huyu Jamaa Ni muuaji Wa Vipindi Vya Michezo Redioni.. Sasa Tunahamia Rasmi BONGO FM, 90.0 Mhz Kuanzia Asubuhi Saa Moja. Baada Ya Hapo Tunaenda Kazini.