Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa nchini na shetani inashangaza sana.
Vyombo vya Habari munadhani CCM itatawala milele? Kwa bahati nzuri nina certificate ya Journalism, sifa kuu za mwanahabari kuripoti habari bila kuegemea upande fulani. Sasa sijui nyie waandishi wenye bachelor na kuendelea mmesoma zaidi na kukutana na sifa za ziada za mwanahabari.
Mimi siko kwenye tasnia ya habari and am forgot about Journalism, lakini kwenye nafasi yangu ninayofanyia kazi siyumbishwi na sitayumbushwa kirahisi .
Ikiwa upinzani utachukua nchi mtakimbilia wapi nyie wafia tumbo? Je, kwakuwa wasanii ni kioo cha jamii hivyo wanaonyesha yale aliyoyasema Waziri mmoja huko Ng'ambo kuwa Waafrika hawawezi kuona mbali?
Yawezekana ni kweli macho yao hayaoni miaka hata 7 mbele, wanajua wataishi watamwacha Magufuli anaendelea kuitawala Tanzania.