Hivi USA anataka nini hasa kutoka Iran. Kwani akikifanya Iran vita inaisha

Hivi USA anataka nini hasa kutoka Iran. Kwani akikifanya Iran vita inaisha

Mwenye ufahamu anisaidie

Hivi USA anataka nini hasa kutoka Iran. Kuwa akikifanya Iran vita inaisha
Nakujibu .

Israel walifanikiwa kupata Ndama wa Kafara Wanne.
Ambao kwa Dini ya Uyahudi, Wanamsubiri Masiha wao aje .

Ili Masiha aje, ni lazima WAWE wamejenga Hekalu la Tatu takatifu.

Hekalu Hilo lazima lijengewe ulipo sasa Msikiti wa Alaqsa...hivo Msikiti lazima ubomolewe.

Sasa Makundi ya Siri yanalazimisha kuwahisha Ujuo huo wa Masiha wa Israel kwa Kuanzisha Vita hii ya Iran.

Hii vita ni ya kidini sio Nyukilia Wala Missiles Wala nn !!.

Wayahudi wanataka kujenga Third Temple yao.
 
Pagumu sana hapo
 
Wanataka kudhibiti mashariki ya kati bila vikwazo.
Irani inaonekana kuimarika zaidi kwenye eneo hilo kitu kinachoitia shaka Amerika kupoteza ushawishi kwa makoloni yake ya Saud Arabia, Qatar, Kuwait, UAE, Iraq, Jordan nk.
Hivyo kuivunja vunja Irani ni njia moja ya kutishia makoloni yake yasifikirie uhuru wa kujitawala.
 
Iran ndio hufadhili magaidi ya waislamu duniani, wale wote akina HAMAS, Hezbollah etc wanafadhiliwa na utawala wa kiislamu wa Iran na kauli mbiu ya Iran huwa ni kufuta Israel kwenye ramani ya dunia, Sasa watu kama hawa hauwezi kuruhusu wamiliki manyuklia.
USA kwa miaka mingi imekua ikiepuka vita na Iran, na muda wote huwa inaomba Iran iache harakati za kumiliki silaha za nyuklia, ila Ayatollah na dini yake wakashupaza shingo, imebidi wapigwe tu.
Kuna mawili, aidha uongozi upokezwe kwa serikali isiyo ya kiislamu au wapigwe na kulemazwa hadi warudishwe zero.
 
Back
Top Bottom