Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
Hapa nazungumzia Ukatoliki na Uislamu.
1st similarity
-Wakatoliki hutumia rozari kwenye sala zao.
-Waislamu nao wana kitu kinaitwa misbahah au prayer beads, na wao wanatumia kweny sala zao.
2nd Similarity
-Wakatoliki wana quaresma, kipindi cha kufunga na kufanya toba.
-Waislamu nao wana mwezi wao wa Ramadhani, huu mwezi wanautumia kwa kufunga, sala na kufanya matendo mema.
3rd similarity
-Wakatoliki wana vatican City/Vatican city State, au kwa jina lingine "The Holy see", ni sehemu muhimu sana kweny dini ya wakatoliki na ni kitovu cha roman catholic church, pia ndipo yalipo makazi ya "Pope" kiongozi mkuu wa dini. Wakatoliki wanauita "holy city" maana mji mtakatifu.
-Waislamu nao wana "Mecca", sehemu takatifu kuliko zote kweny dini ya kiislamu ilioko huko Saudi Arabia, Mecca ndipo mtume alipozaliwa na ndipo dini ya ilipozaliwa. Kimsingi ni fahari kwa muislamu kwenda Mecca kuhiji kwasababu ya utakatifu wa huo mji na waislamu tuu ndo wanaoruhusiwa kuingia huo mji, huwez kwenda kufanya utalii kama unavoenda ngorongoro.
-Vitu nilivyoongelea hapa si vitu minor(vidogo) kweny dini hizi mbili, ni vitu muhimu sana kweny hizo dini mbili, inakuaje hizi dini mbili zinafanana sana kiasi hichi.
-Kuna mambo mengi kuhusu hizi dini mbili na jinsi zinavofanana, ukiangalia kwa juujuu unaweza sema hazifanani, ila ukichungulia kwa ndani zaidi utakutana na similarities nyingi zaidi ya hata nilizoandika hapa, sema staki tuu kuziandika maana zinahitaji uwe mtulivu wa akili, mfuatiliaji mzuri wa historia na kutoendeshwa na hisia, lakini nimeachana nazo nimeamua kuweka zilizo dhahiri.
-Wote tunafahamu kwamba Roman Catholic church imeanza zamani kuliko dini ya uislamu.
Sasa mm nina swali moja tuu...
Je, Roman catholic church aliitengeneza dini ya uislamu ili apate jeshi kubwa la waaminio, ili alitumie kweny vita zake dhidi ya waliokuwa wanampinga Papa?
Nawasilisha.