Satirical Yet Awesome
JF-Expert Member
- Oct 11, 2023
- 629
- 1,688
- Thread starter
- #41
Elewa kitu kimoja, uislamu ni imani za ukatoliki + imani za wayahudi wanaoamini katika agano la kale (Mungu mmoja), sasa hawawez kubuni dini mpya alaf kuifanya ifanane na yao 100%, hio itakuwa ukatoliki part 2
Hao wayahudi ambao mnawachukia sana hadi qur'an inasema ni maadui wa uislamu chakushangaza ndo mmetoa imani nyingi sana kutoka kwao plus imani za kikatoliki.
Hii sawa, ila hii imekopiwa kwa wayahudi ambao ndo waliokuwa wana imani ya mungu mmoja, baada ya kumkataa yesu.1) Mmoja ana Mungu Baba, Mungu Mtoto na Mungu Roho
Mwengine ana Mungu mmoja tu
Hapa mmekopi Imani za kiyahudi, kweny hekalu makuhani walikuwa hawaingii na viatu, haswa sehemu ya hekalu ilikuwa ikiitwa patakatifu zaidi.2) Mmoja huingia kwenye nyumba ya ibada bila viatu akisema kwamba pengine alikopita amekanyaga uchafu na pale ni mahali patakatifu
Mwengine huingia na viatu, usafi ni ndani ya Mtu.
Hizi nazo sheria za wayahudi, tena kuna sura nzima kweny biblia(agano la kale) inaelezea mwanamke asiingie hekaluni akiwa hedhi.4) Na usafi huu hukataza mwanamke alie katika hedhi kuingia nyumba ya ibada,
Mwengine........
Hapana, mm sio mkatoliki ila kweny misiba naingiaga kweny misa zao, wanasimama na wanapiga magoti muda wa kusali.5) Huswali Kwa kusimama, kuinama na kukaa chini
Mwengine hukaa kwenye viti.
Zile ni nguo za kuongozea ibada, sasa ukivaa mtaani utakuwa kituko na joto lote hili, ila hamna mtu anayekatazwa hata ww unaweza kwenda kushona fresh tuu.6) Kanzu na kibagharashia anavaa muumini yoyote,
Kanzu wanavaa viongozi tu
Sheria za majirani wenu wayahudi ambao mnaowachukia sana, wayahudi alikuwa haingii hekaluni bila kutawaza, tena kulikuwa kuna sehemu kabisa maji yametunzwa mengi nje ya hekalu kwa ajili ya kujitawaza.7) Kuna namna maalum ya kunawa (udhu) unapotaka kuingia nyumba ya ibada.
Hakuna namna maalum ya kunawa unapotaka kuingia nyumba ya ibada, ukioga home inatosha kabisa.
Hii imekuwa hivi ili kuifanya dini iwe inaongozwa na tamaduni za kiarabu tuu, kuanzia lugha, mavazi na baadhi ya aspect zingine.8) Kitabu cha dini yake hufundishwa na kusomwa Kwa lugha moja tu inayoaminika ndio iliyotumika kuteremsha Kitabu hicho. Wanadai kutafsiri kwenda lugha mbalimbali kunaweza kupoteza maana.
Hao wayahudi ambao mnawachukia sana hadi qur'an inasema ni maadui wa uislamu chakushangaza ndo mmetoa imani nyingi sana kutoka kwao plus imani za kikatoliki.