Hivi ushawahi kuchunguza jinsi hizi dini mbili zinavyofanana?

Nani ahangaike na pombe ya Duniani

Peponi kutakuwa na pombe iliyo bora zaidi

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Hizo tsbihi, kuchoma ubani.....vililetwa katika uislam na wakatoliki walioslimu.
Ndo mana kuna ahl Sunna wavipinga
mama hao wakatoliki hawakusilimu, wakatoliki wanaojielewa hawawez kwenda kweny dini walioitengeneza wenyew.

Huo ulikuwa ni mkakati wao, wajifanye waislamu, ili waje humo ndani kweny uislamu iliku introduce hizo practices(tamaduni) kutoka kweny ukatoliki, ni kama tuu walivoingiza tamaduni zao za kipagani kweny ukristo.

Pagani Rome converted into Catholic Rome na kuleta baadhi ya vitabia walivokuwa navyo hapo awali kweny ukristo, na hivohivo ndivo walivowafanyia nyie na huo ubani.
 
Nitajie mtume mmoja tu alotoka Vatican?

Mitume wote wametoka kwa waarabu ety leo hii Rome ndo sehemu takatifu

Wakristo mumepigwa na kitu kizito sanaa polenii
Mzee kama muhammad alikuwa ni mtume wa dini mpya na ya kweli, mbona ameiga vitu vingi sana kutoka kwa wakatoliki, na kuiga sheria za wayahudi walioamini katika old covenant??

Usinambie hii imetokea bahati mbaya tuu au it's just a coincidence, sitokuamini, kwamba hii ni coincidence? au bahati mbaya tuu? hizi imani zinafanana sana.
 
Umeelewa swali langu lkn?
 
Nitajie mtume mmoja tu alotoka Vatican?

Mitume wote wametoka kwa waarabu ety leo hii Rome ndo sehemu takatifu

Wakristo mumepigwa na kitu kizito sanaa polenii
Hakuna mtume yoyote aliyetoka uarabuni zaidi ya muhamad .kasome vizuri

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Umeelewa swali langu lkn?
Ndio, si unamaanisha mtume muhammad au nimekosea? Au una maanisha na kina nabii Issa wote waliotokea middle East??

Mm sipo kweny upi mji mtakatifu, mm nipo the fact kwamba huu ufanano wa hizi imani mbili unatisha.
 
Sheikh ni mtu mzima yoyote aliyesoma uslam na kuishi na kupractice uislam elewa mtu yoyote yule, ila padre ni yule tu mwenye kibali cha kuendesha misa.
Wengi wanachanga hapa

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Sheikh ni mtu mzima yoyote aliyesoma uslam na kuishi na kupractice uislam elewa mtu yoyote yule, ila padre ni yule tu mwenye kibali cha kuendesha misa.
Wengi wanachanga hapa

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Sheikh ni mtu mzima yoyote aliyesoma uslam na kuishi na kupractice uislam elewa mtu yoyote yule, ila padre ni yule tu mwenye kibali cha kuendesha misa.
Wengi wanachanga hapa

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Sasa twende kwenye utofauti.
1) Mmoja ana Mungu Baba, Mungu Mtoto na Mungu Roho
Mwengine ana Mungu mmoja tu

2) Mmoja huingia kwenye nyumba ya ibada bila viatu akisema kwamba pengine alikopita amekanyaga uchafu na pale ni mahali patakatifu
Mwengine huingia na viatu, usafi ni ndani ya Mtu.

3) Mmoja huamini katika mavazi yapaswayo kuvaliwa nyumba ya ibada, yasioonyesha sehemu za wazi za mwili.
Mwengine hata kimini poa tu, usafi ni moyon kwako, sio mavazi.

4) Na usafi huu hukataza mwanamke alie katika hedhi kuingia nyumba ya ibada,
Mwengine........

5) Huswali Kwa kusimama, kuinama na kukaa chini
Mwengine hukaa kwenye viti.

6) Kanzu na kibagharashia anavaa muumini yoyote,
Kanzu wanavaa viongozi tu

7) Kuna namna maalum ya kunawa (udhu) unapotaka kuingia nyumba ya ibada.
Hakuna namna maalum ya kunawa unapotaka kuingia nyumba ya ibada, ukioga home inatosha kabisa.

8) Kitabu cha dini yake hufundishwa na kusomwa Kwa lugha moja tu inayoaminika ndio iliyotumika kuteremsha Kitabu hicho. Wanadai kutafsiri kwenda lugha mbalimbali kunaweza kupoteza maana.

Kitabu cha dini yake hufundishwa na kusomwa Kwa lugha mbalimbali za eneo husika. Wanadai hii humsaidia msomaji au mwanafunzi kuelewa vizuri.

......

......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…