Hivi ushawahi kukutana na hii?

Kujua kitu wala sio kosa,

kujua kitu sio shida, wewe ni mtundu na unajua na kusikia vingi. Mimi nimekupenda wewe ni mdadisi. Sema Jamii kukuelewa ndio changamoto. Usiache kujua vitu vingi kutakusaidia.
Walau wewe umenielewa,. Maana hua naogopa kusaidia watu kwa sababu kama hizi za comments za waja
 
Mimi ni baba yako.

Siku ile napiga simu kutafuta namba mpaka kumuomba mama yako, nilikuwa najifanya tu.

Unayewasiliana naye alishanipa taarifa kuwa anawasiliana na mmoja wa wanafamilia wangu.

Sasa wasiwasi wangu ilikuwa isije ikawa mke wangu (mama yako). Awe ananiibia..

Usijali mwanangu. Wasiliana naye tu.
 
Mmmh🤔
Sawa Asante baba kwa ruhusa😂😂
 
Swali la kizushi..una umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…