Hivi ushawahi kukutana na hii?

Next time usiache kutoa msaada, tumia mbinu za kuwazubaisha watu ili wasikosea msaada.

Mfano, hiyo Hotel ni kubwa, taarifa zao zipo mtandaoni(hata kama hazipo), unawaambia "ngoja niingie online niangalie mawasiliano yao", its simple mbona. Watu wanachapana kwenye alphard, unasema tu, "kwa namna haya magari yalivyopaki, na siku hizi watu walivyo, hapa watu wanakulana"....

Usijekuwa na anxiety tu, ni kaugonjwa pia!
 
Shida yeye ni mlengwa, she feels guilty, sio rahisi kumuelekeza mtu mahali wanapouza nyapu kama wewe ni mnunuzi na unaemuelekeza mnaheshimiana.
 
Shida yeye ni mlengwa, she feels guilty, sio rahisi kumuelekeza mtu mahali wanapouza nyapu kama wewe ni mnunuzi na unaemuelekeza mnaheshimiana.
Kwamba na yeye anawekwa kwenye hayo magari🤣🤣🤣 mkuu mimi huko sijafika, ila scenario kama hizo rahisi sana kuzizima.
 
Me naachaga kuwasaidia au kuongelea kitu/jambo fulani hivyo hivyo maana vijijini ukiwazidi uelewa kidogo tu tayari wewe ni mpelelezi! Ya nini kusababishiwa watu kukuepuka na kukunyanyapaa
 
Kwakweli,. Nitajaribu siku nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…