Hivi ushawahi kukutana na hii?

Me naachaga kuwasaidia au kuongelea kitu/jambo fulani hivyo hivyo maana vijijini ukiwazidi uelewa kidogo tu tayari wewe ni mpelelezi! Ya nini kusababishiwa watu kukuepuka na kukunyanyapaa
Huko. Kwenu kuna hatari sasa
 
Kuna namna unapambana kuficha angle flan ya mifano yako lkn itoshe kusema haupo mbali kufanya yanayofanyika katika mfano namba mbili na tatu
Aisee,. Basi sawa🙌🙌
 
Utakua unaugua kisukari na presha ya macho!
 
Kutokana na kukua kwa teknolojia sasa hivi si ajabu sana kumwambia mtu ebu tutumie simu tujue kitu fulani na kukipatia jibu
Sema mambo mengine inabd uyasemee kwa password sio kuyabwabwajaa tu pwaaaaapwaaaaa hadi jamii ikushangae
 
Jibu rahisi tu wewe ni MALAYA full stop, kama kunipiga ban wanipige tu
 
sasa wewe leejay unaonekana una utoto mwingi afu una bwana mwenye gari kabisa, maanake ana vihela! hivi mabwana zebu wanawaProgram vp?
 
Ww ni me au ke?

Kama ni kee endelea kubaki hivyi hivyo kwa maana yule baba yako angejua kama una namba za yile mtu angejua kwamba unaliwa nae,

Hukusu wageni wa dada yako ungetaja tu wangejua kwamba huwa unakwenda kufumuliwa huko ,
Ww hauna changamoto yeyote isipokuwa bado mtoto wa mama kwa hiyo kuna vitu unavijua lkn unakosa uhuru wa kuonyesha kama unajua kwa sababu watakutilia shaka,
 
Imewahi kunikuta hii tuko kwenye jumuiya, sasa mada ya siku hiyo ilihusu masuala ya vijana na namna wanavyobehave nowdays. Mjadala ukaenda mbali zaidi mpaka kujadili masuala ya wadada wanaojiuza na ukimwi, mzee wa kanisa alinipoint nitoe ufafanuzi fulani aiseee mimi sikuogopa nilitoa ufafanuzi heavy kuhusu dada poa pamoja na dawa zile prep zinavyotumika hahahahaha wamama wakabaki wananiangalia kwa macho ya kiulizo and i think walitoka pale wakinidefine tofauti ila sikujali mitazamo yao.
 
Ni kitu cha kawaida tu...

Si kila taarifa ni ya kushirikisha au kuwaambia watu wengine...
 
So unaishi kwenu mpaka sasa? We eleza tu kwani wakijua unaliwa na huyo kigogo au unaliwa kwenye mahoteli makubwa shida iko wapi.
 
Mimi pia imewahi kunitokea, sema hii huwa inatokana na mtu kuwa na tabia za kubadilika badilika kulingana na mazingira.

Unakuta mtu kuna namna anakuchukulia na wewe unajua jinsi anavyokuchukulia ikitokea akaleta jambo linalotoka nje ya mipaka ya vile anavyokuchukulia basi hata kama unalijua huwezi kutoa msaada ili kulinda heshima yako.

Kwahiyo wewe inaonekana nyumbani wanakuchukulia ni mtu mpole/mkimya ambae huna mambo mengi na kuna vitu vingi wanaamini huwezi kuvijua wala kuvifanya.

But ukiwa kazini au ukiwa na marafiki zako unakua na tabia nyingine tofauti na ile waliyokuzoea nayo nyumbani.

Ushuhuda wangu...

Nilikuaga na girlfriend wangu fulani hivi kitambo kidogo, alikua ananiamini sana coz sikuwa na makando kando kwahiyo asilimia mia moja aliamini yeye ndio malkia pekee ambae alikua anatawala kwenye falme za moyo wangu.

Sasa alipataga changamoto kule ikulu ambayo ilifanya ahangaike kidogo kuitafutia ufumbuzi na hiyo changamoto mimi nilishawahi kumshuhudia demu mwingine ambae nilikuaga nabembea kimtindo, but nikashindwa kutoa msaada coz nilihofia angeniuliza nilijuaje mambo ya sirini namna ile maana hata Google hakukua na jibu lililonyooka.

Kwahiyo huo ni mfano tu mmoja kati ya mingi ambayo itafanya uamini mtoa mada unavyochukuliwa sivyo ulivyo.

Na watu wa aina yako huwa wanaongoza kuwaua watu wengine kwa presha, kwasababu huwa wanafanya vitu ambavyo havitegemewi kwamba wangeweza kuvifanya hasa vile vilivyo kwenye negative side(jokes)

Ni sawa na mlokole ambae mnajua anasali sana toka utotoni mwake hawezi kukupa msaada wa ugonjwa unaohitaji tiba ya mganga wa kienyeji ambae yeye pia aliwahi kumsaidia kwa tatizo hilohilo na akapona.
 
Kila mtu anajidai haangalii picha za ngono ila zinaongoza kwa views
Hilo ni la kufikia!
Mwizi anaua mwizi na kumchoma moto kabisa.
Mzinzi analaani uasherati na kufundisha maadili.
Mchoyo anapenda kula vya wengine na kuficha vya kwake nk nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…