Hivi utajisikiaje mbunge umehamia CCM halafu unaenda kukataliwa na wanaccm kwenye kura za maoni? Angalizo: mtatukanwa sana na wapinzani wenu chamani!

Hata ivyo wale wote walio hama vyama hasa walioliingizia taifa hasara kwa kuama kabla ya kipindi cha uchaguzi wapigwe chini tu.
 
Muulize Mayalla yeye atagombea kama mhamiaji haramu au atategemea kabila?
Kwenye hayo hayo majina matatu hawatapita kwa wapiga kura mkuu. Labda majina yote matatu yawe ya wahamiaji haramu jambo ambalo litaipasua pasua CCM kila kona.
 
Kale kashajitoa kwenye uringo wa siasa za kiushindani
Kuna kale kabwana mdogo ka kilombero, kwanza kana shule ya wasiwasi pili kanadai kaliiba kura, sijaona takukuru au DCI akihangaika nako, tusubiri mtiti wa kura za maoni
 
Hakika umenena mkuu...watajikuta hawamo ndani na nje hawatakiwi kuonekana...malipo ni hapa hapa duniani
Watasombwa kwenye majukwa kuwapigia debe wagombea,si tuliona kina Juliana Shonza.
 
Hawa watu uwezo wao wa kuona mbali ni mdogo mno!!
Lakini Mkuu hawa Wasaliti si wamelipwa kwa kazi maalum?? Kuna wa fedha taslim na wengine wa kwa Kuahidiwa kurudishiwa Ubunge na wengine ikiwa vyote vitashindikana basi Mzee ana vyeo mkononi.
 
Huwa najiuliza sana🤔🤔hivi hawa jamaa uzuzu umewaingia lini hadi ufahamu waliokuwa nao miaka kadhaa nyuma uwayeyuke kiasi hiki....huwa hadi naona aibu kuwasikiliza🙉🙉
 
Wivu tu
 
Ni hatari kwenye chama kua na mtu ambae hakujengwa kiitikadi ya chama hicho, leo utamuona mtu lakin kesho nafsi yake itarudi kule ilikotoka.
Tusubiri........
 
siikubali CCM, na siwezi kuikubali, lakini natamani sana wawashughulikie yudas wote! Natamani iwe wametumiwa tu alafu, tupa kule!!😂😂. Nawaahidi, mkifanya hivyo nitafurahi, lakini msimamo wangu kiitikadi ntabaki nao!!
 
Sasa mnaomba huruma ya Nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…