Hivi UVCCM na ninyi huwa mnaswali au kusali? na ninyi huwa mnalia mbele za Mungu?

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
591
Reaction score
909
Wasalaamu

Haya madudu yanayo endelea kama ufisadi na namna zote tabaka la watu wachache wanazidi 'kujneemesha' kwa rasilimali zetu ninyi mnaona sawa?

Madudu kama kuongeza majimbo kwa kuyagawanya kana kwamba wabunge waliopo wanafanya kazi kweli tuliyowatuma mnaona sawa?

Hivi UVCCM na ninyi huwa mna SWALI na ku SALI?

Hivi mnajua kama historia lazima itakumbukwa tuu hamjui kama mtakuja kuzeeka?

Mtawaambia nini watoto wenu?...mtafurahi kukumbukwa kama machiefu waliowauza babu zetu kwa vipande vya nguo?

Hivi huwa mnajitazama kwenye kioo au huwa mnarudia recording zinazo onesha mkifanya uchawa...huwa hamna aibu?

Hivi neno utu bado mnalo au shetani ameshalichukua ?

Mjitafakari na hao mnaowapigania
 
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan kwa yote
 
Bora hao vijana, vipi wale watekaji na wapotezaji,wapiga risasi wenzao kisa madaraka?
Ila Mungu yupo.
 
Nilkua naangalia taarfa ya habari nikaona kuna familia ilkua ina mgogoro wa ardhi na mali nyingine nyingine Tanga huko ila point kuu ilkua ardhi wake wa marehemu na familia hawaelewani.
Baada ya mgogoro wa ardhi kutatuliwa huko wa wana familia wakashukuru et mwshon mwanasheria kweny hayo mambo ya ardhi anamshukuru x kwakutatua mgogoro nimeshtuka sana…hii ndo ile sugu alisema mpambe unamsifia boss mpka anashtuka, mtu anaweza aoe akashuru xx ya xx tano.
 
Tuko pabaya sana
 
Wasalaamu

Haya madudu yanayo endelea kama ufisadi na namna zote tabaka la watu wachache wanazidi 'kujneemesha' kwa rasilimali zetu ninyi mnaona sawa?

Madudu kama kuongeza majimbo kwa kuyagawanya kana kwamba wabunge waliopo wanafanya kazi kweli tuliyowatuma mnaona sawa?

Hivi UVCCM na ninyi huwa mna SWALI na ku SALI?

Hivi mnajua kama historia lazima itakumbukwa tuu hamjui kama mtakuja kuzeeka?

Mtawaambia nini watoto wenu?...mtafurahi kukumbukwa kama machiefu waliowauza babu zetu kwa vipande vya nguo?

Hivi huwa mnajitazama kwenye kioo au huwa mnarudia recording zinazo onesha mkifanya uchawa...huwa hamna aibu?

Hivi neno utu bado mnalo au shetani ameshalichukua ?

Mjitafakari na hao mnaowapigania

On my very own nikiuwakilisha ukoo wangu wote, pamoja na balozi na mwenyekiti wa mtaa wangu naomba utueleze vizuri juu ya kile unadhani walipaswa kufanya... Toa hoja hata tatu (strategical) bila mapovu.

Ukitoka mapovu badala ya hoja nakurandua Kofi ....

Sema saiv wanafanya Nini na walipaswa kufanya Nini
 
Wasalaamu

Haya madudu yanayo endelea kama ufisadi na namna zote tabaka la watu wachache wanazidi 'kujneemesha' kwa rasilimali zetu ninyi mnaona sawa?

Madudu kama kuongeza majimbo kwa kuyagawanya kana kwamba wabunge waliopo wanafanya kazi kweli tuliyowatuma mnaona sawa?

Hivi UVCCM na ninyi huwa mna SWALI na ku SALI?

Hivi mnajua kama historia lazima itakumbukwa tuu hamjui kama mtakuja kuzeeka?

Mtawaambia nini watoto wenu?...mtafurahi kukumbukwa kama machiefu waliowauza babu zetu kwa vipande vya nguo?

Hivi huwa mnajitazama kwenye kioo au huwa mnarudia recording zinazo onesha mkifanya uchawa...huwa hamna aibu?

Hivi neno utu bado mnalo au shetani ameshalichukua ?

Mjitafakari na hao mnaowapigania
Ndio mungu wetu chama cha mapinduzi.
 
Back
Top Bottom