musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Wasalaamu
Haya madudu yanayo endelea kama ufisadi na namna zote tabaka la watu wachache wanazidi 'kujneemesha' kwa rasilimali zetu ninyi mnaona sawa?
Madudu kama kuongeza majimbo kwa kuyagawanya kana kwamba wabunge waliopo wanafanya kazi kweli tuliyowatuma mnaona sawa?
Hivi UVCCM na ninyi huwa mna SWALI na ku SALI?
Hivi mnajua kama historia lazima itakumbukwa tuu hamjui kama mtakuja kuzeeka?
Mtawaambia nini watoto wenu?...mtafurahi kukumbukwa kama machiefu waliowauza babu zetu kwa vipande vya nguo?
Hivi huwa mnajitazama kwenye kioo au huwa mnarudia recording zinazo onesha mkifanya uchawa...huwa hamna aibu?
Hivi neno utu bado mnalo au shetani ameshalichukua ?
Mjitafakari na hao mnaowapigania