Hivi uzuri wa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ni upi ?

Dooh mbona reasoning ya hali ya chini sana hii. Mkuu kutrend kwa msemo wa "acha kumlinganisha fulan na vitu vya kijinga" ndo kila sehem unatupia tu!!!?

Mkuu hapo kajenga hoja kiufaham kabisa wa mambo kwamba, coach wa viwango Lwandamina aliikimbia team ikiwa ktk crisis, sasa huoni kama Zahera anastahil credits kwa kuifikisha 2nd runner na almanusra kutwaa 'jagi' na hatmae kushiriki CL!?
 
Sura.
 
Zahera ni kocha wa kiwango cha juu sana kwanza ni bahati tu kufundisha apa Tanzania, Kwanza anaongea ukweli bila kuogopa chochote, kama tatizo ni la timu yake atasema, kama mwamuzi atasema, kama Tff atasema. Anaongea wazi juu ya mapungufu ya timu yake na anaongea wazi juu ya ubora wa timu pinzan. Hapendi uongo na nirahisi kutambua kama unampa sifa ambazo si zake.
Ana tabia za ulaya ambapo kocha ndie msemaji wa maswala yote ya ufundi, Ukweli wake na ufundi wake ndio ulio ipa Yanga nafasi ya pili 18/19.
 
Sawa ameikuta timu kwenye mazingira magumu nasasa je? Bado magumu kama alivyoyakuta hapa kuna kitu nyuma ya pazia sio bure
wewe unaona mazingira rahisi au hukusikia kina Juma Abdul kushindwa kujiunga na mazoezi kwa sababu ya ukata
 
Kocha yeyote mzuri analeta vikombe , huyu wenu ameleta nini ? timu inacheza hovyo kabisa ! huwezi hata kudhani wanatumia fomesheni yoyote ila !
 
Hebu weka CV ya Zahera tulinganishe na CV ya Lwandamina. Lwandamina ameshakuwa coach mkuu wa Timu ya Zambia.Amekuwa best coach Zambia 2014 na 2015.Mwaka 2018/19 amechukua ubingwa akiwa na Zesco.
Zahera amechukua ubingwa na timu ipi akiwa kocha?Tiririka mkuu wacha kufuata mkumbo.Hoja dhaifu hujibiwa na hoja thabiti.Kushika nafasi ya pili tena kwa kuzidiwa pointi 7 baada ya kuongoza kwa pointi 21 mkononi sio credit.
 
hawana hela ya kumlipa kocha. zahera anajitolea
 
akikujibu nistue .
 
Reactions: Tui
Zahera muda wake mwingi amefundisha Bergium na France sasa unamfananisha vip na Lwandamina, Zahera analeseni daraja A ya UEFA kwa daraja ilo la Lesen anaweza fundisha club yoyote Europe. Ki ufundi Zahera ni mtamu kuliko makocha Wengi wa ligi kuu. Chuki zako binafsi kwa Zahera haziwezi kubadili uwezo alionao.
 
Ndio tatizo la kufuata mkumbo. Let us assume ana UEFA leseni daraja A.Leseni hiyo anaweza kufundisha timu mpaka umri wa miaka 18 tu kwenye Nchi wanachama wa UEFA.
Inatakiwa uwe na UEFA Pro licence ndio unaweza kufundisha timu yeyote.
Umesema amefundisha Belgium na France naomba nitajie hata timu mbili za wakubwa alizofundisha akiwa Head Coach.
 
Kama ulikuwa kwenye mawazo yangu...ivyo watani zangu yanga mtulie tu
 
JF sio kijiwe cha kahawa.Ukija na uzushi na habari za kupika unapewa nondo unakimbia.No research No right to speak.
 
Kawapiga ndumba sio bure[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…