Nkwe2RG
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 231
- 224
Dooh mbona reasoning ya hali ya chini sana hii. Mkuu kutrend kwa msemo wa "acha kumlinganisha fulan na vitu vya kijinga" ndo kila sehem unatupia tu!!!?George Lwandamina ni coach wa viwango .Wacha kumlinganisha na huyo mpiga kelele.Lwandamina ametwaa ubingwa na Zesco
Zesco ni mabingwa wa Zambia. Na mtakutana nao mkishinda dhidi ya Township Rollers.
Bosi wake huyu mpiga kelele amefukuzwa na timu ya Taifa ya Congo kwa matokeo mabaya. Yeye hata hakutajwa.
Mkuu hapo kajenga hoja kiufaham kabisa wa mambo kwamba, coach wa viwango Lwandamina aliikimbia team ikiwa ktk crisis, sasa huoni kama Zahera anastahil credits kwa kuifikisha 2nd runner na almanusra kutwaa 'jagi' na hatmae kushiriki CL!?