Hivi uzuri wa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ni upi ?

Mwinyi Zahera anazingua. Hawezi kutupangia wachezaji wabovu kama akina Ali Ali halafu tutegemee kupata matokeo mazuri.
 
Limbwata Kali Sana hili ila nguvu yake inakaribia kuisha mechi ijayo na police akipigwa tu patachimbika pale Jangwani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yanga ikiendelea kubaki na kocha huyu isiposhuka daraja itakuwa ajabu sana !
 
Mimi nimegundua uzuri wa Zahera ni ile michirizi utamu ya nyuma ya magoti ndo maana anapendelea sana vipensi... hahaha
 
Tunamtakia kila la heri huko aendako, tunamshukuru sana kwa kuivusha timu yetu salama hadi kushika nafasi ya pili msimu uliopita baada ya mwalimu wa timu wa wakati huo (George Lwandamina) kukimbia.

Tutamkumbuka kwa kutusajilia wachezaji wengi wabovu na wa kawaida, huku akiwafungulia mlango wa kutokea baadhi ya wachezaji wazuri na muhimu kwenye timu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…