Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anajua kulia...!uzuri wake ni nini ? ni vema ukafafanua ili tujiridhishe kwamba hujapuliziwa vumbi la Congo .
anasema watashinda game ya away .Hivi zwazwa zahera jana katoa lawama kwa nani?
Sisi Yanga tunakuwaga comfortable zaidi away kuliko nyumbani. Tuna uwezo Wa kuwatoa zescoanasema watashinda game ya away .
Ndio tatizo la kufuata mkumbo. Let us assume ana UEFA leseni daraja A.Leseni hiyo anaweza kufundisha timu mpaka umri wa miaka 18 tu kwenye Nchi wanachama wa UEFA.
Inatakiwa uwe na UEFA Pro licence ndio unaweza kufundisha timu yeyote.
Umesema amefundisha Belgium na France naomba nitajie hata timu mbili za wakubwa alizofundisha akiwa Head Coach.
Ongeza sauti mkuu sijakusikia .Tatzo kinjenga alichovaa zahera kimewaponza
Kweli mkuuSisi Yanga tunakuwaga comfortable zaidi away kuliko nyumbani. Tuna uwezo Wa kuwatoa zesco
Basi tukuajiri wewe uwe kocha kama simba nanyi mnalia ZAHERA afukuzwe kuna walakini furaha yenu ni Yanga kufanya vibaya sasa mnataka Zahera ang'oke mpate shida fikiri mara hiki ulicho commentsYani Yanga ni kama wamelogwa na huyo kocha.. Kama wamewekewa Limbwata yani... Hawaoni wala hawsikii na wala huwaambi chochote kuhusu Mwinyi Zahera
Limbwata Kali Sana hili ila nguvu yake inakaribia kuisha mechi ijayo na police akipigwa tu patachimbika pale Jangwanikawa piga limbwata
Kila nikimtizama na kumkumbuka marehemu Tambwe Leya, naona ipo haja ya kutafakari ni kipi anachokifanya Yanga huyu vuvuzela.Timu ya Yanga imewahi kuwa na na Makocha wengi sana wazuri kabisa na walioipa mafanikio makubwa sana timu hii , ikiwemo kubeba vikombe kadhaa lakini hawajawahi kusifiwa kama anavyosifiwa huyu kocha mbovu asiye na mafanikio yoyote aitwaye Mwinyi Zahera , hajawahi hata kubeba kikombe cha kunywea kahawa .
Amewapa nini wanayanga huyu mcongo ? au ni kweli kwamba Wacongo wanatumia ndumba kupumbaza wengine ? Huyu kiuwezo yuko nyuma mno kumlinganisha na Kataraiya Minziro lakini sifa anazopewa hata Man U hawakuwahi kumpa Alex Ferguson .
Kweli ww ndiye mpumbavu. UMEULIZWA MAFANIKIO YAKE KWA KLABU YA YANGA NI YAPI? Hebu yataje. USIPANIC. Taja tu mafanikio ya mwinyi zahera kwa yanga km Yale ya coach shungu.Acheni Upumbavu ninyi, Zahera anafanya kazi Yanga katika Mazingira Magumu
Kule kuiwezesha timu kushika nafasi ya pili na Almanusura ya Kutwaa Ubingwa
Mnafikiri ni Kazi ya Kitoto? Bila shaka haya majungu yameanza mapema kuna
kinachoogopwa, BADO NINA IMANI SANA NA ZAHERA..... TUACHIENI KOCHA
WETU.