Hivi uzuri wa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ni upi ?

Hivi uzuri wa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ni upi ?

Yanga ya Zahera ilikuwa mbovu kiuchumi na wachezaji na kushika nafasi pili sio jambo rahisi. Imagine mpaka muombe ndio wachezaji wale wasafir....
Hilo ndilo lengo la Yanga kushiriki ligi kuu ? halafu mbona Jack Chamangwana alibeba hadi ubingwa lakini hakuwahi kusifiwa kama huyu anayeshika nafasi ya pili ? hapa kuna kitu .
 
Akiwatoa Rollers ndipo nitamuheshimu otherwise he is simply both useless and hopeless
 
KWA SABABU ANAWASAIDIA MASIKINI AMBAO HAWANA NAMNA KWA HIYO NI BORA KWAO LAKINI QUALITY YAKE NI NDOGO KULIKO JINA LA TIMU!

YANGA WANGEKUWA NA PESA, ZAHERA ASINGEFUNDISHA PALE
 
Anafanya kazi mbili kwa pamoja, kufundisha mpira na kuwa msemaji wa timu

ulaya ndivyo ilivyo.. hujui zahera amefundisha ulaya, na makazi yake na familia yake ni ufaransa...

club zote kubwa majuu na hata africa kocha ndie msemaji wa timu.. maana ndie anaijua timu yake
 
Usifanye masihara na vumbi la Congo dem lazima akutake tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zahera ni kocha wa kiwango cha juu sana kwanza ni bahati tu kufundisha apa Tanzania, Kwanza anaongea ukweli bila kuogopa chochote, kama tatizo ni la timu yake atasema, kama mwamuzi atasema, kama Tff atasema. Anaongea wazi juu ya mapungufu ya timu yake na anaongea wazi juu ya ubora wa timu pinzan. Hapendi uongo na nirahisi kutambua kama unampa sifa ambazo si zake. Ana tabia za ulaya ambapo kocha ndie msemaji wa maswala yote ya ufundi, Ukweli wake na ufundi wake ndio ulio ipa Yanga nafasi ya pili 18/19.
Ukweli upi anaousema, kwamba Uganda walipulizia sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kule Egypt kwenye AFCON?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Uzuri wake nijinsi anavyoweka mdomo wake akiongea kama naniliu ya kuku
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ole gunner na Lampard wana daraja lipi
Ndio tatizo la kufuata mkumbo. Let us assume ana UEFA leseni daraja A.Leseni hiyo anaweza kufundisha timu mpaka umri wa miaka 18 tu kwenye Nchi wanachama wa UEFA.
Inatakiwa uwe na UEFA Pro licence ndio unaweza kufundisha timu yeyote.
Umesema amefundisha Belgium na France naomba nitajie hata timu mbili za wakubwa alizofundisha akiwa Head Coach.
 
Back
Top Bottom