Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
inasemekana pia ni mtaalam wa mitishambaAnafanya kazi mbili kwa pamoja, kufundisha mpira na kuwa msemaji wa timu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inasemekana pia ni mtaalam wa mitishambaAnafanya kazi mbili kwa pamoja, kufundisha mpira na kuwa msemaji wa timu
Hilo ndilo lengo la Yanga kushiriki ligi kuu ? halafu mbona Jack Chamangwana alibeba hadi ubingwa lakini hakuwahi kusifiwa kama huyu anayeshika nafasi ya pili ? hapa kuna kitu .
Nampata Mkuu Mmalawi,hajawika sana kama hao niliowataja.Unamjua jack chamangwana
Yani Yanga ni kama wamelogwa na huyo kocha.. Kama wamewekewa Limbwata yani... Hawaoni wala hawsikii na wala huwaambi chochote kuhusu Mwinyi Zahera
Anafanya kazi mbili kwa pamoja, kufundisha mpira na kuwa msemaji wa timu
Ukweli upi anaousema, kwamba Uganda walipulizia sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kule Egypt kwenye AFCON?Zahera ni kocha wa kiwango cha juu sana kwanza ni bahati tu kufundisha apa Tanzania, Kwanza anaongea ukweli bila kuogopa chochote, kama tatizo ni la timu yake atasema, kama mwamuzi atasema, kama Tff atasema. Anaongea wazi juu ya mapungufu ya timu yake na anaongea wazi juu ya ubora wa timu pinzan. Hapendi uongo na nirahisi kutambua kama unampa sifa ambazo si zake. Ana tabia za ulaya ambapo kocha ndie msemaji wa maswala yote ya ufundi, Ukweli wake na ufundi wake ndio ulio ipa Yanga nafasi ya pili 18/19.
Ndio tatizo la kufuata mkumbo. Let us assume ana UEFA leseni daraja A.Leseni hiyo anaweza kufundisha timu mpaka umri wa miaka 18 tu kwenye Nchi wanachama wa UEFA.
Inatakiwa uwe na UEFA Pro licence ndio unaweza kufundisha timu yeyote.
Umesema amefundisha Belgium na France naomba nitajie hata timu mbili za wakubwa alizofundisha akiwa Head Coach.
Kwani Simba hakunaga kazi za kufanya?Kawapiga ndumba sio bure[emoji13][emoji13][emoji13]
hilo jina linaonesha ni mndengereko huyu, so huo ndio uzuri wake.Mwinyi Zahera
Wewe unaonekana unasoma nje ya mstari unataka afafanue vipi zaidi ya hapo , la ,utakuwa na matege kwenye akili yako.uzuri wake ni nini ? ni vema ukafafanua ili tujiridhishe kwamba hujapuliziwa vumbi la Congo .
Tatizo mliaminishwa kuwa Rollers wangetutoa kwa vile nyie mlitoka nao sare , mpira hauko hivyo.Akiwatoa Rollers ndipo nitamuheshimu otherwise he is simply both useless and hopeless