Hivi uzuri wa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ni upi ?

Hivi uzuri wa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ni upi ?

FT' Yanga SC 1-1 Zesco United  24' Sibomana (p) 94' Kamusoko  0- CafChampionsLeag.jpg
 
Hv hii ulijibiwa?
Ndio tatizo la kufuata mkumbo. Let us assume ana UEFA leseni daraja A.Leseni hiyo anaweza kufundisha timu mpaka umri wa miaka 18 tu kwenye Nchi wanachama wa UEFA.
Inatakiwa uwe na UEFA Pro licence ndio unaweza kufundisha timu yeyote.
Umesema amefundisha Belgium na France naomba nitajie hata timu mbili za wakubwa alizofundisha akiwa Head Coach.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani Yanga ni kama wamelogwa na huyo kocha.. Kama wamewekewa Limbwata yani... Hawaoni wala hawsikii na wala huwaambi chochote kuhusu Mwinyi Zahera
Basi tukuajiri wewe uwe kocha kama simba nanyi mnalia ZAHERA afukuzwe kuna walakini furaha yenu ni Yanga kufanya vibaya sasa mnataka Zahera ang'oke mpate shida fikiri mara hiki ulicho comments
 
Timu ya Yanga imewahi kuwa na na Makocha wengi sana wazuri kabisa na walioipa mafanikio makubwa sana timu hii , ikiwemo kubeba vikombe kadhaa lakini hawajawahi kusifiwa kama anavyosifiwa huyu kocha mbovu asiye na mafanikio yoyote aitwaye Mwinyi Zahera , hajawahi hata kubeba kikombe cha kunywea kahawa .

Amewapa nini wanayanga huyu mcongo ? au ni kweli kwamba Wacongo wanatumia ndumba kupumbaza wengine ? Huyu kiuwezo yuko nyuma mno kumlinganisha na Kataraiya Minziro lakini sifa anazopewa hata Man U hawakuwahi kumpa Alex Ferguson .
Kila nikimtizama na kumkumbuka marehemu Tambwe Leya, naona ipo haja ya kutafakari ni kipi anachokifanya Yanga huyu vuvuzela.
 
Acheni Upumbavu ninyi, Zahera anafanya kazi Yanga katika Mazingira Magumu
Kule kuiwezesha timu kushika nafasi ya pili na Almanusura ya Kutwaa Ubingwa
Mnafikiri ni Kazi ya Kitoto? Bila shaka haya majungu yameanza mapema kuna
kinachoogopwa, BADO NINA IMANI SANA NA ZAHERA..... TUACHIENI KOCHA
WETU.
Kweli ww ndiye mpumbavu. UMEULIZWA MAFANIKIO YAKE KWA KLABU YA YANGA NI YAPI? Hebu yataje. USIPANIC. Taja tu mafanikio ya mwinyi zahera kwa yanga km Yale ya coach shungu.
 
Back
Top Bottom