Hivi vifo ni mpango wa MUNGU au mkakati uliojificha.

komasalonde

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
2,742
Reaction score
3,523
Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Mafuru, Mahiga, nk. Tanzania hatukuwahi kupitia haya. Huenda ni vifo vya kawaida lakini kwa nini view vya watu wa aina moja ? Je, WAKRISTO wako hatarini au ni wazembe kuishi mtindo wa maisha unaohatarisha uhai wao. Nini kifanyike kuwanusuru. Je,, wamekuwa tishio kwa jamii nyingine ????. !!!!!
 
Kama ni wa ccm basi utakuwa na hoja
 
Mwenye mamlaka ya kutoa uhai wetu ni Mungu pekee,ila Kuna watu au vikundi vya watu vimetwaa mamlaka ya Mungu Ili kutoa uhai wa wengine jambo ambalo ni hatari (magenge ya mauaji,utekaji).
 
Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Mafuru, Mahiga, nk. Tanzania hatukuwahi kupitia haya. Huenda ni vifo vya kawaida lakini kwa nini view vya watu wa aina moja ? Je, WAKRISTO wako hatarini au ni wazembe kuishi mtindo wa maisha unaohatarisha uhai wao. Nini kifanyike kuwanusuru. Je,, wamekuwa tishio kwa jamii nyingine ????. !!!!!
Hakuna kisichojulikana duniani ni suala la muda tu.Itafahamika mpango kama ulikuwepo ni nani alikuwa nyuma au bado anaendelea na mpango huo.
 
Ni ujinga na fikira duni duni duni sana, kifo kukitenganisha kwa sababu ya Dini

Kifo hakina Dini, hizi ni fikra za kijinga sana kuona eti kama kuna kundi haliguswi na kifo ili hali kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake

Na huwenda hapo ulipo , moyo wako umejaa maombi batili juu ya mlengo fulani kisa tu siyo dini yako

Nakuomba ndugu, acha kabisa kufananisha kifo na ubatili wako

Kifo hakina mtaalamu wa yeye afunge na kuomba ili asifikiwe au akijiegemeza kwenye dini fulani hatofikiwa

La mwisho, Maisha ya Duniani yamejaa usugu wa mateso, magonjwa, ajali, presha ya maisha n.k

Kwa mjibu wa Vitabu vya Mungu, kwake kuna kupumzika na maisha yasiyo ya kujuta

Kwa mjibu huo, kwa nini uwe na hofu ya kufa ilihali unaenda kupumzika?

Mf. Maisha ya Marais wa nchi zetu hizi, kuishi kwa kutukanwa, kugombezwa na kebehi za kila namna, Je, ni maisha gani hayo yasiyo na furaha wala amani?,

Tundu Lissu kupigwa risasi, kufungwa na mateso kibao, ni uraha gani huo?
 
Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Mafuru, Mahiga, nk. Tanzania hatukuwahi kupitia haya. Huenda ni vifo vya kawaida lakini kwa nini view vya watu wa aina moja ? Je, WAKRISTO wako hatarini au ni wazembe kuishi mtindo wa maisha unaohatarisha uhai wao. Nini kifanyike kuwanusuru. Je,, wamekuwa tishio kwa jamii nyingine ????. !!!!!
Akili mgando tu sasa tumeanza kumpangia mungu kazi yake?
 
Hujajibu hoja ya msingi. Aliyegongwa na gari au aliyekufa in 95 years ni tofauti kabisa na watu wanaofia kazini tena wa mlengo mmoja na vifo vinavyofanana
 
Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Mafuru, Mahiga, nk. Tanzania hatukuwahi kupitia haya. Huenda ni vifo vya kawaida lakini kwa nini view vya watu wa aina moja ? Je, WAKRISTO wako hatarini au ni wazembe kuishi mtindo wa maisha unaohatarisha uhai wao. Nini kifanyike kuwanusuru. Je,, wamekuwa tishio kwa jamii nyingine ????. !!!!!
Waislamu wazanzibar
 
Mr Smile ni Janga kwa taifa, anakula hadi wa kambi yake.
Maembee Dodoo a.k.a Member,
Laurence Masha
.........
Inaoneka ana mpango mkakati wagalatia kutokukaa pale juu kesho wala kesho kutwa.
 
Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Mafuru, Mahiga, nk. Tanzania hatukuwahi kupitia haya. Huenda ni vifo vya kawaida lakini kwa nini view vya watu wa aina moja ? Je, WAKRISTO wako hatarini au ni wazembe kuishi mtindo wa maisha unaohatarisha uhai wao. Nini kifanyike kuwanusuru. Je,, wamekuwa tishio kwa jamii nyingine ????. !!!!!
Hizi ni akili zako kweli? Yesu na mitume wake wote wakristo wamekufa hujahoji? Adam na Hawa na ukoo wake woote wamekufa sasa hao uliowataja wasife kwasababu unawaona wako sawa na Mungu?
 
Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Mafuru, Mahiga, nk. Tanzania hatukuwahi kupitia haya. Huenda ni vifo vya kawaida lakini kwa nini view vya watu wa aina moja ? Je, WAKRISTO wako hatarini au ni wazembe kuishi mtindo wa maisha unaohatarisha uhai wao. Nini kifanyike kuwanusuru. Je,, wamekuwa tishio kwa jamii nyingine ????. !!!!!
Umemsahau Jasusi Bernad Membe
 
Back
Top Bottom