Hivi vifo ni mpango wa MUNGU au mkakati uliojificha.

Hivi vifo ni mpango wa MUNGU au mkakati uliojificha.

Hata wanaopigwa risasi makusudi nao vipi ni mpango wa nani
Umeshasema risasi ila watu unaona wanakufa natural death hanafu unahoji ina maana unataka watu waishi milele? Uwe muislamu, mkristo au mojagani kifo hakikwepeki tofauti ni muda tu, amekufa tajiri yetu jitu patel, mzee mwinyi, baba yake mchengerwa etc hayo mambo muachie mungu ndio mwenye siri hiyo
 
Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Mafuru, Mahiga, nk. Tanzania hatukuwahi kupitia haya. Huenda ni vifo vya kawaida lakini kwa nini view vya watu wa aina moja ? Je, WAKRISTO wako hatarini au ni wazembe kuishi mtindo wa maisha unaohatarisha uhai wao. Nini kifanyike kuwanusuru. Je,, wamekuwa tishio kwa jamii nyingine ????. !!!!!
Jamani mie nauliza tu! Nyie mnaua wenzenu huo uhai mliwapa nyie? au n mali yenu? hivi unajua kuwa nawe utakufa! Nawasihi wanadamu tumwogope Mungu, muwe na huruma kwa watoto wenu pia maana damu ya mwanadamu haipotei bure! nakulilia wewe u ayeua bila hata kujali watoto wa wenzenu mnaowafanya yatima. Mungu awasamehe kwa kuwa hamjui mtendalo!
 
Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi, Mfugale, Mkapa, Mafuru, Mahiga, nk. Tanzania hatukuwahi kupitia haya. Huenda ni vifo vya kawaida lakini kwa nini view vya watu wa aina moja ? Je, WAKRISTO wako hatarini au ni wazembe kuishi mtindo wa maisha unaohatarisha uhai wao. Nini kifanyike kuwanusuru. Je,, wamekuwa tishio kwa jamii nyingine ????. !!!!!
Mungu hapangi vifo vya kutekwa kuumizwa na kupotezwa
 
Hizi ni akili zako kweli? Yesu na mitume wake wote wakristo wamekufa hujahoji? Adam na Hawa na ukoo wake woote wamekufa sasa hao uliowataja wasife kwasababu unawaona wako sawa na Mungu?
Duuuh. Ndiyo sababu ya wao kufia kazini mapema hivyo au kuna wasababishaji
 
Back
Top Bottom