Pre GE2025 Hivi vile vyama 13 vya upinzani, vilivyoamua kuungana na CCM, kuwapinga Chadema, wanajisikiaje hivi sasa baada ya kuona maandamano hayo yamefanikiwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umoja wa Kazi iendelee
 
Ule ulikuwa mradi wa Makomda. Hakuna mwingine ndani ya ccm anaweza kubuni mpango ubume zaidi ya huyu jamaa.
 
Vipi hivyo? vyama VIKOBA vile🤣🤣🤣🤣
 
..angalau Act wamemsimamisha Mwenyekiti wao wa mkoa wa Dodoma ambaye aliaandaa press conference na kupinga maandamano ya Cdm.
Zzk ni mnafiki sana yaani hapendi kuiona CDM inafanya jambo likafanikiwa
 
Sijui vinateseka vikiwa wapi muda huu na yule kiongozi wa dini marasuser

Sent using Jamii Forums mobile app
miaka ya 2000 nikiwa form five kuna bro wangu alikuwa UDSM nilitamani kuwa kama yeye na muda mwingi tukikaa pamoja na kubadilishana mawazo aliniambia " ikifika 2020 watu wasiojua kusoma na kuandika watakuwa kama vichaa" niambieni pale kwenye lile kundi nani hata alisha maliza form 6?
 
..angalau Act wamemsimamisha Mwenyekiti wao wa mkoa wa Dodoma ambaye aliaandaa press conference na kupinga maandamano ya Cdm.

Na wamesema kesho watakaa kikao kumsikiliza ilikuwaje akawa na ajenda binafsi. Nadhani kwakuwa maandamano ya cdm yamefanyika kwa mafanikio, huenda wakamchukulia hatua Kali ili kujisafisha.
 
Hiv maandamano yalifanikiwa au yalifanyika??
Tuliza akili mkuu, kufanyika ni tukio ( event) kufanyikiwa ( success) na kukamilisha lengo. Chadema walifanikiwa sababu wakifikisha ujumbe UN. Bahati mbaya haujui UN inafanyaje kazi. Ina jumuia zaidi ya 12 chini yake zonazofanya evaluation kwa kila nchi mwanachama wa UN. Taarifa zake zinatumika na development partner ktk vigezo vya usaidizi na ukopaji wa mifuko na taasisi za kifedha duniani. Kilichofanyika ni kikubwa kuliko unavyobagaza. Angalia tuvuti za CNN, BBC na ALJAZIRA nilivyopost taarifa ya maandamano ya Chadema ndo utajua how it impacted Tanzania political image across the globe. Mengi tafuta kwa ufupi darasa ilo nimekumegea kiduchu.
 
Sawa mkuu..nimekupata na sikuuliza kwa ubaya maana siasa now days zilishanichosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…