Hivi vinavyopita hewani ni nini?

Huko ni nje ya dunia kwenye orbit ni anga la wote.
 
Tufafanulie UFO au type kirfu chake
 
Niliwahi kushuhudia kitu kama hicho kwenye usafirishaji wa madawa ya kulevya na utoroshaji wa madini ..drone inafungiwa vifurushi kwenye kamba na kupaa navyo oupeleka sehemu stahiki. Sasa hivi wauza ngada wame improve sana.
 
Ila kile kifaa kilikuwa mbali na kikubwa hivyo hawezi kubeba ngada coz ni illegal
 
Huko ni nje ya dunia kwenye orbit ni anga la wote.
Anyway kwa scale hiyo ninaona zinaonekana kama ziko jirani...

Na kama zingekatiza kwenye anga la nchi kama China Urusi au Iran ama kinyume chake satellite za mchina zionekane USA kwa ukaribu huo lazima wangereact/wangeshutumiana.
 
Satellite yoyote huruka kwenye orbit. Na hakuna nchi inayomiliki orbit. China satellite zake (kama za nchi zingine kibao zote zenye satellite) zinazunguka dunia na kupita usawa wa Marekani ama nchi nyingine yoyote kila leo wala hakuna tatizo.
 
Kwa hiyo Sisi watanzania ni domozege siyo.
 
Anyway kwa scale hiyo ninaona zinaonekana kama ziko jirani...

Na kama zingekatiza kwenye anga la nchi kama China Urusi au Iran ama kinyume chake satellite za mchina zionekane USA kwa ukaribu huo lazima wangereact/wangeshutumiana.
Hahahaha!
 
Satellite yoyote huruka kwenye orbit. Na hakuna nchi inayomiliki orbit. China satellite zake (kama za nchi zingine kibao zote zenye satellite) zinazunguka dunia na kupita usawa wa Marekani ama nchi nyingine yoyote kila leo wala hakuna tatizo.
Sawa sawa mkuu.

Kama ni hivi basi tuko uchi zaidi ya hata nilivyokua nafikilia... Anyway hata hivyo hatuna maajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…