Wewe kunywa safari, yeye anywe hiyo myumbo sawa 5%Ukienda viwanja, naona wadada wanavifakamia kweli, wanaume wanaruhusiwa kweli?View attachment 3445426
Naunga mkono hojaBro ukianza habari za vinywaj vya kike na kiume utasumbuka Sana. We kunywa unachopenda na hakuna atakae kuuliza kitu. Mademu wenyewe wanakunywa mpaka bapa. Hakuna kinywaji cha kike wala kiume ni perception tu za waswahili.
Ukienda viwanja, naona wadada wanavifakamia kweli, wanaume wanaruhusiwa kweli?View attachment 3445426
Hiki kimekaa kama ni jamii moja na flying fish na savannaUkienda viwanja, naona wadada wanavifakamia kweli, wanaume wanaruhusiwa kweli?View attachment 3445426
Mademu wenyewe wanakunywa mpaka bapa!Bro ukianza habari za vinywaj vya kike na kiume utasumbuka Sana. We kunywa unachopenda na hakuna atakae kuuliza kitu. Mademu wenyewe wanakunywa mpaka bapa. Hakuna kinywaji cha kike wala kiume ni perception tu za waswahili.
Uko Ngara??Ukienda viwanja, naona wadada wanavifakamia kweli, wanaume wanaruhusiwa kweli?View attachment 3445426
clear clear
Mubaba na ndevu anakunywa sparkling beer 😆Mwanaume unakunywaje bruto? Savanna? Flying fish? Wine wine???
Heri unywe mirinda nyeusi au azam embe....
Ni umama 😂😂Mubaba na ndevu anakunywa sparkling beer 😆
hakuna kinywaji cha kike na cha kiume,vyote vinanyweka na jinsi yoyote,muhimu ni mapenzi ya kila kila mtuUkienda viwanja, naona wadada wanavifakamia kweli, wanaume wanaruhusiwa kweli?View attachment 3445426