Hivi vinywaji vina-trend siku hizi, hivi wanaume wanaruhusiwa kunywa?

Sema huu mzigo umeenda sana mjini, sijui nitoe pongezi kwa team yao ya marketing au watengezaji( ladha mpya) maana kwa week nakutana na story zaidi ya tatu kuhusu hiyo Brutal
 
Bro ukianza habari za vinywaj vya kike na kiume utasumbuka Sana. We kunywa unachopenda na hakuna atakae kuuliza kitu. Mademu wenyewe wanakunywa mpaka bapa. Hakuna kinywaji cha kike wala kiume ni perception tu za waswahili.
Faza Nelly angekuwa hai angekutukana tusi la kukumbusha wewe ni mwanaume lazima utambue kama ilivyo kuna nguo za kike basi ndivyo ilivyo kuna vinywaji vya kike. Mwanaume lazima ujue kujitofautisha by nature
 
Naskia kuna mpaka 5G
 
Mzee huo mi mtazamo wako wewe, hakuna kinywaji kinachotengenezwa based on gender. Kama kipo tuambie hapa scientifically na sio kwa mtazamo wako wa kiswahili.
 
Back
Top Bottom